Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Kuoa wanawake huyo Mtume Muhammad,ni mwenzetu huyo kwa mila.zetu za kiafrika,na ndio uwanaume huo,babu yangu mimi,alikuwa na wanawake 25,akioa na kuacha,na alipata watoto wengi tu.Mwanamme,lazima aoe,ukimuona mwanamme haoi huyo ni punga.Lakini hoja hii ya upunga,haihusiani na Yesu,kutokuoa.Yesu ni Nabii,anayetambulika kwenye uislamu.
We jamaa kichwa ngumu sana, mwanaume kuwa na wake hata 50 kihalali na kwa makubaliano mazuri sio shida, mi baba yangu ana watoto kwa wake watano, hilo sio tatizo mkuu.

Point ni hii, Muhammad alikuwa muhalifu, anajichukulia wake kinguvu hilo ndo nalipinga mimi, ndo tukamzungumzia safiyyah.

Huyu safiyyah, Muhammad alivamia kwenye mji wao akaua sana watu pamoja na mumewena babaye, akaondoka nae kama mateka. Akamuoa kilazima kwa sababu safiyyah alikuwa mrembo kinoma.

Na hapo tumeanza na huyo mmoja tu tungemaliza hilo ningeonyesha na mwingine ambaye Muhammad alifanya uharamia kumpata.

Umeelewa hapo?

🤣Naona umesema mwanaume asipooa anakuwa punga, ukamtoa Yesu kwenye upunga. Hebu weka maelezo mazuri ya kueleweka kwa nini mwanaume mwingine asipooa anakuwa punga ila Isa wenu hajaoa anakuwa sio punga.
 
Dini zote ni utapeli ila Waislamu wamezidi mafindisho yao yamejaa ubinafsi sana Wakristo wana nafuu
🤝🤝🤝
Mkuu kwenye thread yako nilisema sitaongeza neno ila hapa naomba nikazie.

Nilisoma kitabu kimoja kinaitwa TWO HEADED OF DRAGON. kinaongelea hizi dini mbili. Kuna dini moja wameirefer kama ni utapeli. Dini ilianzishwa kwa maslahi fulani ya kivita vita.

Refer vikundi vyote vya uasi ni hiyo dini coz mafundisho yao mengi yanasapoti vurugu.

Allah= god of war

Peponi Kuna mto wa wine na pia ukifika kule utawakuta mabikra 72 wenye macho kama yai la mbuni😋😋😋😋, hapa kwanini mwanaume asijitoe muhanga ili awawahi mabikra wake😂😂😂💔.

Wanafundishwa kufa ili kumtetea mungu wao, Sasa ni mungu yupi anaetetewa na binadamu? Uwezo wake yeye uko wapi?
 
Mungu hahitaji kutetewa mkuu, ila Allah anahitaji kutetewa kwa sababu sio Mungu. Allah ni ID nyingine ya Muhammad.
Kwa mfano Quran 33:36 Muhammad anasema, yeye na Allah wakipanga jambo lao mtu hatakiwi kuwa na hiyari nalo, ni kutekeleza tu bila kuhoji.

Sasa Mungu gani anakaa kikao na Muhammad kupanga jambo? Utagundua huyu jamaa yeye ndo huyo huyo Allah 🤣😃
 
Mkuu hata leo hii Dunia nzima wawe waislam hiyo haizuii ukweli kwamba uislam ni dini dhaifu saaaana.
Sasa unautetea uislam kwa hoja ya watu kuslimu?
Weka hoja ya msingi hapa ya mtu kuslimu ndo tuijadili. Nimesikiliza hoja za wanaoslimu, hakuna hata mmoja aliwahi kuongea vitu vya msingi.

Weka hoja moja ambayo uliwahi kuisikia ya mtu kuslimu ukaielewa tuijadili hapa.

kweli kabisa maneno yako kwani ukristo Unakubali uolewe kanisani na mwanaume mwenzako na pia unaomba dua kuwaomba watakatifu mashoga au vipi mkuu na pia unaungama makosa yako kwa padri shoga . Bila kusahau biblia unayoisoma ya Gay bible au Queen James bible

ANAOLEWA NA MZUNGU , RAHA ZA UKRISTO HIZO

1793621179212.png

British Vicar To Marry Nigerian Gay - P.M. News​

Mungu hahitaji kutetewa mkuu, ila Allah anahitaji kutetewa kwa sababu sio Mungu. Allah ni ID nyingine ya Muhammad.
Kwa mfano Quran 33:36 Muhammad anasema, yeye na Allah wakipanga jambo lao mtu hatakiwi kuwa na hiyari nalo, ni kutekeleza tu bila kuhoji.

Sasa Mungu gani anakaa kikao na Muhammad kupanga jambo? Utagundua huyu jamaa yeye ndo huyo huyo Allah 🤣😃
Mkuu naikubali hoja Yako, ukizingatia jamaa ndio anadai yeye ndie alishushiwa kitabu chake hicho🤣🤣🤣

Ngoja tuone lakini kinachoendelea ulaya inaweza kuwa ni JIHAD
 
Watakatifu mashoga hawa kawaombe

1793622197900.png

30 LGBTQ+ Religious Saints Throughout History | Advocate.com​

🤝🤝🤝
Mkuu kwenye thread yako nilisema sitaongeza neno ila hapa naomba nikazie
gongelea na nyundo rukhusa
.

Nilisoma kitabu kimoja kinaitwa TWO HEADED OF DRAGON. kinaongelea hizi dini mbili. Kuna dini moja wameirefer kama ni utapeli. Dini ilianzishwa kwa maslahi fulani ya kivita vita.
Exactly dini ni maslahi ya wajanja
Refer vikundi vyote vya uasi ni hiyo dini coz mafundisho yao mengi yanasapoti vurugu.

Allah= god of war
Yes Yes
Peponi Kuna mto wa wine na pia ukifika kule utawakuta mabikra 72 wenye macho kama yai la mbuni😋😋😋😋, hapa kwanini mwanaume asijitoe muhanga ili awawahi mabikra wake😂😂😂💔.
uzizi tu 😅🙌🏼
Wanafundishwa kufa ili kumtetea mungu wao, Sasa ni mungu yupi anaetetewa na binadamu? Uwezo wake yeye uko wapi?
Mungu anatetewa hapa ndio hua naishiwa power
 
Mkuu naikubali hoja Yako, ukizingatia jamaa ndio anadai yeye ndie alishushiwa kitabu chake hicho🤣🤣🤣

Ngoja tuone lakini kinachoendelea ulaya inaweza kuwa ni JIHAD
Mudi alikuwa mjanja mjanja tu kama Dalali🤣
Imagine alikuwa anaweza kusema jambo leo Halafu kesho anazungumza tofauti wakimuhoji anajitetea, "Allahanaweza kunipa aya Kisha akanisahaulisha Kisha akanipa nyingine inayofafana na aliyonisahaulisha ama ananipa nyingine Bora zaidi."

Sasa hapo mkuu ukiwaza, Mungu gani huyu anamsahaulisha Aya mtume wake Kisha anampa nyingine inayofanana na aliyomsahaulisha? Si ni comedy kabisa hii!

Hapo ilikuwa janjajanja ya mudi, ili kwamba hata akizungumza jambo tofauti na la mwanzo watu wasihoji.
 
kweli kabisa maneno yako kwani ukristo Unakubali uolewe kanisani na mwanaume mwenzako na pia unaomba dua kuwaomba watakatifu mashoga au vipi mkuu na pia unaungama makosa yako kwa padri shoga . Bila kusahau biblia unayoisoma ya Gay bible au Queen James bible

ANAOLEWA NA MZUNGU , RAHA ZA UKRISTO HIZO

View attachment 3703226

British Vicar To Marry Nigerian Gay - P.M. News​

We jamaa umeongea porojo tu,
Weka aya tuone kama kweli
_Biblia inafundisha mbegu ipandwe juu ya mbegu🤣
_Ni Aya ipi inataka tuombe dua kwa watakatifu mashoga
_Ni Aya ipi tukaungane kwa mapadri mashoga
_Pia weka uthibitisho kwamba Biblia ninayoisoma ni ya shoga James

Naona hoja yako imejikita kwenye ushoga.
Biblia inafundisha mashoga na wafiraji, wote hao ni mtoni tu...
Sasa acha kuandika ujinga weka uthibitisho wa maandiko ya Biblia.
 
Hakuna hoja yenye akili inayoweza kumfanya mtu awe muislam. Mtu kuingia kwenye uislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
We ni muislam kwa sababu huujui uislam.
😁😁😁 maumivu yakizidi wahi kwa dokta

Uislamu na waislam wataendelea kuwatia jampa jampa mpaka munafukiwa

Maana vyote kwa pamoja hamuwezi kuvifanya visiwepo yaaani

Kwahio poleni na muvumilie tu!!!
 
😁😁😁 maumivu yakizidi wahi kwa dokta

Uislamu na waislam wataendelea kuwatia jampa jampa mpaka munafukiwa

Maana vyote kwa pamoja hamuwezi kuvifanya visiwepo yaaani

Kwahio poleni na muvumilie tu!!!
Shetani yupo siku zote hata kabla ya uwepo wa wanadamu. Amejitengenezea dini yake hiyo ya uislam sasa ni nani anaweza kumfanya shetani na wapuuzi wake wasiwepo? Kama Mungu amewaacha wawepo sisi ni nani tuweze kuwaondoa?
 
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu

Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?

Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?

Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli

Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi

Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni

Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi

Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu

Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.

Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?

Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?

Acheni ujinga,think big

Ni hayo tu!
Kwa mtazamo wangu iko hivi, nchi za ulaya miaka ya hivi karibuni wamepokea wakimbizi wengi sana kutoka maeneo ya afrika na middle east, na wao wenyewe wamekuwa wakisema wanataka sharia law ndio mbadala wa future ya ulaya. sasa hii ajenda anazidi kukua kwenye miji ya london na Paris naeneo mengine, ongezeko la kuzaliana kwa wahamiaji wa kiislamu kumaleta vurugu kubwa kiasi hicho, pamoja na hali ya kiuchumi kuwa mbaya lakini suala hilo nalo limechangia sana vurugu hizo, na ukifuatilia hizi taarifa zinatoka kwao wafaransa wenyewe sio hata sisi. ANGALIO: haya ni maoni yangu na hayatokani na chuki kabisa
 
This time sio uislam ni hali ngumu ya maisha ila wahuni lazima watumie chuki kwa waislam ili wapate kura, lakini kwanini waarabu na utajiri wao wote wanakuwa wakimbizi Europe na shida nyingine ni udini na kukataa assimilation nchi walizohamia
 
Haiti kuna waislam!?
Ukraine na Russia kuna waislam?
Nani kaanzisha vita ya kwanza na ya pili ya dunia!?
Nani anahamasisha ushoga na usagaji duniani hadi kushinikiza makanisa yakubali!?
Nani alianzisha ukoloni??
Kina nani walianzisha Trans atlantic slave trade?
Hapo hakuna muislam hata mmoja.
Mngekuwa na uwezo mngefanya yote hayo 😁
 
Ok, tuanze na wa safiyyah....huyu alimlazimisha kumuoa baada ya kuvamia kwenye mji wao akawaua mume wake na baba na watu wa mji huo akachukuliwa kama mateka then alivyoona ni Mali nzuri akamuoa kilazima. Unaijua hiyo? Au nimedanganya?
😁😁😁
Wee jamaa uongo unakupa faida gani asee

Ila kwakua unajileta mwenyewe kwenye mfumo acha tukupe dawa uache wenge

Kwanza khaibar hawakuvamiwa wao walikua na makubaliano na wao ndio waloanza kuvunja makubaliano

Pili baada ya wao kupigwa mama yetu saffiyah alipewa option achague mwenyewe

1.Asislimu awe kafiri kama alivyokua awali ila arudi kwa jamaa zake

2.Aslimu halafu s a w amuoe tena hakulazimishwa alitakiwa akubali mwenyewe
(Kwanza kwenye sharti za kutimu ndoa inatakiwa muolewaji aridhie jamaa uache kudanganya watu hapa ndani)
 
Pasipo kuweka kejeli, ujuaji, ama kebehi za kidini, kutokana na Qur'an ina mafundisho ya chuki dhidi ya Wayahudi na Wakristo.

Ina mafundisho yenye kuhamasisha dhuluma ya mali zao, ikiwezekana hata kufanya maamuzi ya hila ili kuwadhoofisha na hata kuwauwa.

Kinachotokea Ulaya sasa ni udhihirisho wa wazi wa chuki zao za kidini dhidi ya jamii za Kikristo ambazo zimetamalaki. Ulizozitaja ni "remote course of actions, but the root cause is their evil inclination on Islamic faith"
Leta ushahidi wa hio Qur’an inapoleta hila dhidi ya wayahudi na wakristo kama unayo
 
Hoja ya kwanza ya udhaifu wa uislam ni kwamba uislam Quran haijakamilika kueleza kikamili kuhusu mambo ya msingi ambayo mwanadamu anapaswa kujua.
Waislam walivyoona Quran hautoshi wakaanza kutunga Hadith za uongo kujazia habari za Quran. Pamoja na kutunga habari hizo bado kuna habari hazijakamilika ukichanganya Quran na Hadith.
Kama habari ipi isio kamilika
 
Back
Top Bottom