Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
ID ipi tena?Uislam ni kunyenyekea na kufuata mafundisho ya mitume na Kitabu cha Quran.
hadithi ni kwa ajili ya ushehereshaji tu...
LAKINI; MBONA UMEACHA ILE ID YAKO YA ZAMANI TULIYOKUZOEA?
ID ipi tena?Uislam ni kunyenyekea na kufuata mafundisho ya mitume na Kitabu cha Quran.
hadithi ni kwa ajili ya ushehereshaji tu...
LAKINI; MBONA UMEACHA ILE ID YAKO YA ZAMANI TULIYOKUZOEA?
Mariya Qibtiya,hakuwa mfanyakaxi wake,huyu alipewa zawadi na Mfalme wa Misri,amuoe.We jamaa mbona umeruka comment yangu?
Nimekwambia Muhammad alikuwa na wake 13 umesema nimefeli ukaandika majina 11, nimekuongezea mawili uliyokuwa huyajui na sasa unajifanya unaruka comment.
Ulimsahau Maria, huyu alikuwa house girl wake, jamaa aliamua kuzama ndani na kujisevia mzigo,
Na mwingine aliitwa Rayhanah bint zayd.
Jifanye tena hujaona na hii
Mkuu ikiwa unataka nikupe ushahidi wa safiyyah kuwa mateka na nimekupa umekataa unataka nini tena! Yaani Hadith ipo kwenye kitabu pendwa cha waislam ambapo baada ya Quran ni hicho unakataa?Hadithi uliyoleta ni feki. Katika sheria za kiislam za kivita hakuna mateka wakike na hakuna kuua wanawake. Hadithi yako inakosa ithbati. Hizi uongo unazitolea wapi!?
Ila maswali yangu kuhusu ukristo hukunijibu.
dini kuwa dhaifu inavunja uhalali wake? aaaahhh nilitarajia kujifunza kitu hapa kmbe hamna kitu. nasepaMkuu hata leo hii Dunia nzima wawe waislam hiyo haizuii ukweli kwamba uislam ni dini dhaifu saaaana.
Sasa unautetea uislam kwa hoja ya watu kuslimu?
Weka hoja ya msingi hapa ya mtu kuslimu ndo tuijadili. Nimesikiliza hoja za wanaoslimu, hakuna hata mmoja aliwahi kuongea vitu vya msingi.
Weka hoja moja ambayo uliwahi kuisikia ya mtu kuslimu ukaielewa tuijadili hapa.
Hapo point sio mfanyakazi ama zawadi. Ishu ni kwamba mwenzako mleta mada anasema katika idadi ya wake za Muhammad huyo hayupo. Niasaidie kumuelewesha, naona we unajua ila ye hataki kabisa kuamini .Mariya Qibtiya,hakuwa mfanyakaxi wake,huyu alipewa zawadi na Mfalme wa Misri,amuoe.
🤣😃 Comments zipo nyingi mkuu endelea kupitia utajifunza mambo mengidini kuwa dhaifu inavunja uhalali wake? aaaahhh nilitarajia kujifunza kitu hapa kmbe hamna kitu. nasepa
huyu MK254 amekuja na ID nyingine na ushahidi wake wa porojo tupu bila factdini kuwa dhaifu inavunja uhalali wake? aaaahhh nilitarajia kujifunza kitu hapa kmbe hamna kitu. nasepa
Udhaifu wa dini ni mafundisho yake mkuu,huyu MK254 amekuja na ID nyingine na ushahidi wake wa porojo tupu bila fact
Unawezaje kusema dini flan ni dhaifu bila ushahidi wa kitabu wanacho kiamini?
PUMBA TUPU!- kupotezeana muda tu hapa....
Udhaifu wa dini ni mafundisho yake mkuu,
Nimeanza fundisho lenu la kumuita Muhammad mtume, huo ni uongo, Muhammad hana sifa za kuwa mtume....nimeweka hoja moja ya uovu wa Muhammad wa kujitwalia wake kimabavu, mleta mada akasema kabla hatujafika mbali nimtajie idadi ya wake za Muhammad.
Nimemtajia 13 ye akasema walikuwa 11, hapo ameshindwa kutetea hiyo 11, kaingia mitini.
Sasa, unaweza kuendeleza hapa alipokwama mwenzako ama nikupe hoja nyingine ya udhaifu wa hii dini ya Allah?
Uislam ni Quran na Hadith, SEMA kama Hadith sio reference za uislam ili hata wewe nisione unaleta hoja ya Hadith mbeleniWeka ushahidi wa maandiko kutoka kwenye Quran. Msingi wa Uislam upo kwenye Quran na sio hekaya
Huwezi kuongelea kasoro ya ukristo bila reference kutoka kwenye Biblia
mimi nimesoma Biblia kwa kama 85% na nimesoma Quran kwa kama 80%Uislam ni Quran na Hadith, SEMA kama Hadith sio reference za uislam ili hata wewe nisione unaleta hoja ya Hadith mbeleni
Kwenye ukristo upo sahihi 100% hakuna ukristo nje na Biblia.mimi nimesoma Biblia kwa kama 85% na nimesoma Quran kwa kama 80%
Naujua Uislam na Ukristo vizuri. mtu hawezi kunidanganya na hekaya za kuunga unga
Mtu akikashfu ukristo nataka reference kwenye Biblia, na akikashfu Uislam nataka refernce kwenye Quran...
TUACHE UPOTOSHAJI, TUSOME DINI KWA LENGO LA KUMTAFUTA MUNGU NA SIO KWA LENGO LA KUPOTOSHA....
Wajinga tu na wapumbavu Kama wewe ndiyo watakubaliana na wewe ambaye huoni yanayoendelea huko Ulaya na Marekani!!
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu
Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?
Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?
Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli
Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi
Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni
Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi
Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu
Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.
Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?
Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?
Acheni ujinga,think big
Ni hayo tu!
Wajinga tu na wapumbavu Kama wewe ndiyo watakubaliana na wewe ambaye huoni yanayoendelea huko Ulaya na Marekani!!
Kwenye maandamano hayo utaiona yanachagizwa na wahamiaji hasa kutoka Mashariki ya Kati kwa maana ya waarabu huku wakipeperusha Bendera za Taifa fake la Palestina Hilo pia hulioni wana Choma Bendera ya Israel Hilo pia hulioni maana unaongozwa na Mihemko ya kijinga ya kidini yako pendwa inayosababisha mauaji kwa wasio itakaa!!
Ni ujinga kufikiri Maandamano yanayotokea Ulaya na Marekani hayasababishwi na wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kwa maana ya Waarabu Nimekuwekea picha na link nyingi za waandamanaji huko Ufaransa wakichoma Bendera ya Israel sasa wewe Bumunda kuna uhusiano gani Kati ya Bendera ya Israel na maandamano ya Ufaransa? Kuna uhusiano gani wa Kubwabwaja barabara I Allah-Akbar huko Ulaya na Marekani? Tatizo ni Uislamu unataka kupenyezwa kwa nguvu!!
Wakati mwingine Tumieni akili zenu vizuri !!! Mungu Ali wala Bure zitumia kwa manufaa yenu siyo kuleta pumba Kama hii hapa!!!
View: https://x.com/amjadt25/status/2116585104772681847?s=61
View: https://x.com/eyakoby/status/2115160171446219096?s=61
View: https://x.com/debzcare/status/2114787687924424756?s=61
View: https://x.com/eyakoby/status/1871009511772950578?s=61
View: https://vt.tiktok.com/ZSgonQY2H/
Mpaka Sasa hujatuonyesha chochote dhidi ya madai yako hayoUpo sahihi kabisa, ila mi sasa najua ukristo na uislam ndio maana nikasema hivo.
Kama una muda endelea kusoma comments humu utaona wameshakimbia kujibu hoja zangu.
Ndo nahitimisha kwa kusema, ili uwe muislam ni lazima kwanza uwe huujui, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
Tumia akili zako vizuri kawadanganye huko kwenye Madrasa na misikiti yenu lakini usituletee Pumbavu zako hapa!!!Pamoja na link zako nyingi bado wewe mjinga tu, tambua shida ya msingi ni nini kwanza
Sababu ya maandamano nchi za Ulaya ni hayo niliyochapisha hapo juu
Sasa hayo yanayotokea hapo ni mengineyo,kama vile mkutano una agenda kuu na mengineyo,sasa hayo mengine ndio hao wahuni wachache,lakini hao wamedandikia trend kwa mbele
Kwahiyo ujue kusoma mambo kwa ufahamu na kuchambua habari kwa ufahamu
Usiwe mjinga namba moja hapa duniani kwani sio sifa nzuri,jielimishe na ondoa chuki zako za kidini
Sasa we jamaa we si ndo ukaanza kuingiza mambo ya Muhammad alikuwa na wake wangapi? Huko si ndo kulifanya tukachelewa kukaa kwenye point!Mpaka Sasa hujatuonyesha chochote dhidi ya madai yako hayo
Tuonyeshe ukijua hiki utaukataa uislamu,ukijua hiki utaikataa uislamu na kadha wa kadha,acha porojo boss
Kuoa wanawake huyo Mtume Muhammad,ni mwenzetu huyo kwa mila.zetu za kiafrika,na ndio uwanaume huo,babu yangu mimi,alikuwa na wanawake 25,akioa na kuacha,na alipata watoto wengi tu.Mwanamme,lazima aoe,ukimuona mwanamme haoi huyo ni punga.Lakini hoja hii ya upunga,haihusiani na Yesu,kutokuoa.Yesu ni Nabii,anayetambulika kwenye uislamu.Udhaifu wa dini ni mafundisho yake mkuu,
Nimeanza fundisho lenu la kumuita Muhammad mtume, huo ni uongo, Muhammad hana sifa za kuwa mtume....nimeweka hoja moja ya uovu wa Muhammad wa kujitwalia wake kimabavu, mleta mada akasema kabla hatujafika mbali nimtajie idadi ya wake za Muhammad.
Nimemtajia 13 ye akasema walikuwa 11, hapo ameshindwa kutetea hiyo 11, kaingia mitini.
Sasa, unaweza kuendeleza hapa alipokwama mwenzako ama nikupe hoja nyingine ya udhaifu wa hii dini ya Allah?
Al khawarithim, huyu bwana ugunduzi wake wa Algebra ulikuwa na uhusiano gani na Uislam wake?Bila uislamu,hata jf,unaotamba nayo,isingekuwepo.Hii jf na vingine vote unavyoona,vilivyotengenezwa na binadamu,vinatokana na Al khawarithim ,muislamu huyu,ndio aligundua Algorithm,Algebra na namban0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,bila huo MohammedMussa Al khawarithm,dunia ingekuwa nyuma sana.Lazima hesabu hizi,uzisome shule,hata kama unachukia uislamu,unasilimu hapa bila kupenda na pia unatumia vitu na vifaa kadhaa kwa kupitia mwamba huyu,simu,TV,gari umeme,saa,pesa,nguo,chakula,usafirì wa ndege,Meli,computer,mpaka Internet unayotumia,vifaa vya hospital,hapo unakofanyia kazi zako,vifaa vya nyumbani kwako,viwandani nk.
Hao unaowaona au ukisikia wanafanya fujo huko ulaya au sehemu nyingine kokote duniani,hao sio waislamu ,ni wanafiki,katika uislamu kuna wanaoitwa wanafiki wameingia kwenye uislamu kinafiki,wafukuzwe tu,njia rahisi ni kucheki documents zao,wapo wanaotumia documents feki za kuzaliwa,za kuoana nk.Wapo wamezaliwa Tanzania,lakini wanatumia vyeti vya kuzaliwa vya kisomali,kwenye vita,wakati Tanzania ni chi ya Amani.Serekali za ulaya,America,Uingereza,watoe njia za wanaowafahamu,wanaoishi huko kwa njia feki,watatumiwa uthibitisho,na nchi za ulaya waache huruma na imani.Wawafukuze,lakini sio kwa uislamu wao,wawafukuze kwa kutumì document feki,na wako huko ulaya wengi tu.