Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Weka sababu moja ya wewe kuwa muislam tuichambue hapa ndo utaona ujinga uliopo kwenye uislam
Sababu moja wapo ya sisi kuwa waislamu ni uwepo wa Mungu mmoja,ambaye ni muweza wa kila kitu,hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna anayefanana nae hata mmoja

Onyesha ujinga ulipo
 
Kwani we mzee una kiwango gani cha uelewa!?

Mi nimesema sijawahi kuona hoja yoyote ya kiakili inayotolewa na mtu anayeslimu. We umesema zipo hoja za kiakili, nasema uziweke umekataa unasema mi ndo niweke.

Sasa nimekuwekea hoja ya mtu aliyesilimu kisha unaniambia mambo ya mwaipopo yanahusiana nini: sasa si umelazimisha tangu mwanzo nitoe mfano, naleta mfano huutaki. Una umri gani kwanza maana nisije nikawa napoteza muda na watoto.

Ishu ya Maria na Rayhanah umeshindwa kutetea, halafu unasema nakupotezea muda. Upo sawa kweli we jamaa.

Nasema tena kuwa muislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.

Hapa nimeshajua hata historia ya mtume wenu fake mudi huujui, sasa nini kingine utajua.
Boss, narudia kwa mara ya mwisho,mjadala wangu na wewe ni juu ya hoja yako kwamba Mtu akijua uislamu basi ataukataa si ndio?

hapa ndio napataka,sijakutuma wala kukutaka uniambie sababu za watu kusilimu,usiwe mjinga mara nyingi zaidi
 
Maoni yake binafsi kwa vipi na anaongoza kanisa lako ?
Kanisa lipo? Lipo mji gani? Ana tuongoza wasabato dunia nzima? Mtume wenu alikuwa anakula mtoto wa miaka 9 na huoni shida kumfuata na bado Una tetea ndoa za watoto.

Mohammed alioa make wa mtoto wake wa kufikia. Alifumaniwa akiwa anamla mtumwa wake Maria mkoptiki kwenye kitanda cha mkewe bi sada.
 
Mimi nafuata biblia,mtume wenu alioa mtoto wa miaka 6 na kuanza kumlala akiwa na miaka 9. Kwanini unamfuata pedophile?

Hujajibu swali , hata biblia ya Queen James unaifuata? Huyo unayemfuata alikuwa jike au dume ? Mbona hata huyo aliyekamatwa na kijana wa kiumbe aliyeweka chupi begani alizaliwa na mama wa miaka 9 . Huyo alompa mimba alimuoa lini ?
 
Boss, narudia kwa mara ya mwisho,mjadala wangu na wewe ni juu ya hoja yako kwamba Mtu akijua uislamu basi ataukataa si ndio?

hapa ndio napataka,sijakutuma wala kukutaka uniambie sababu za watu kusilimu,usiwe mjinga mara nyingi zaidi
Kama majadiliano tuliyoyafanya tangu asubuhi ambayo mengi umeshindwa kuyajibu still unaona mi mjinga, mkuu sina kingine cha kujadili na wewe.
 
Kanisa lipo? Lipo mji gani? Ana tuongoza wasabato dunia nzima? Mtume wenu alikuwa anakula mtoto wa miaka 9 na huoni shida kumfuata na bado Una tetea ndoa za watoto.

Mohammed alioa make wa mtoto wake wa kufikia. Alifumaniwa akiwa anamla mtumwa wake Maria mkoptiki kwenye kitanda cha mkewe bi sada.
Huyu aliyekamatwa alfajiri vichakani alikuwa akimfanya nini yule kijana wa kiume aliyekuwa uchi ambaye aliweka chupi begani kule Gesthemane? Sio kanisa lipi ni makanisa mengi yapo ya gay adventist
 
1. Kuhusu biblia kutokua na nakala ya kiebrania.
2. Kuhusu mungu sahihi kati ya Yahweh na Jehovah.
1. Hizi Biblia za lugha zote zimetafsiriwa kutoka kwenye lugha ya kiebrania. Sasa ni wazi kwamba Biblia ya kiebrania ipo
2. Yahweh na Jehovah ni jina moja na Mungu mmoja.
 
Hakuna hoja yenye akili inayoweza kumfanya mtu awe muislam. Mtu kuingia kwenye uislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam, ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.
We ni muislam kwa sababu huujui uislam.
ila wewe ch0k0 ulikubali kufirw@ uko sawa kwa misingi ya ugalatia ndio una akili
 
ila wewe ch0k0 ulikubali kufirw@ uko sawa kwa misingi ya ugalatia ndio una akili
Kuongea na watu kama wewe ni ukosefu mkubwa wa akili.
Muhammad alaaniwe kutengeneza kizazi cha watu kama wewe.
 
Sehemu ipi uislamu ulipo ikawa salama kwa kuishi,vile majinga hayataki Imani nyingine ienee yanapo ishi pia yanapoenda kwenye ustaarabu yanataka yaeneze Imani yao,haya majitu ni ya ajabu sana
sasa wewe ufirwe kwa misingi ya dini yako halafu unakaa maeneo yetu ili uambikize na wengine kwetu ni halali kukunyofoa hili fuvu
 
Kuongea na watu kama wewe ni ukosefu mkubwa wa akili.
Muhammad alaaniwe kutengeneza kizazi cha watu kama wewe.
huo usenge wenu wa kufirina fanyieni huko mashambani maana na sasa hata huku tumewafikia

1793646100682.png
 
Huyu aliyekamatwa alfajiri vichakani alikuwa akimfanya nini yule kijana wa kiume aliyekuwa uchi ambaye aliweka chupi begani kule Gesthemane? Sio kanisa lipi ni makanisa mengi yapo ya gay adventist
Huyu aliyeteswa gesthemane ndiye yule ambaye waislam mnasema kwamba mnamheshimu? Halafu unamungelea kwa maneno ya dharau wakati Allah amemchukua kwake huku Mohamed akiwa ameoza kwenye kaburi kule Saudi Arabia.
 
Watu wengi hawajui. Mohammad, binafsi hakuwahi kujitangaza kuwa ni mtume. Mpaka anafariki, Muhamad hakuwahi kuacha Quran. Quran imeandikwa miaka mingi baadaye baada ya kufariki Mogammad, na iliandikwa na watu waliokusanya simulizi kutoka kwa watu waliodai kusimliwa na Muhammad. Lakini kuna watu waongo wanawadanganya watu kuwa eti kitabu cha Quran kileteremshwa na Allah.

First Official Compilation, called Caliph was done from 632–634 CE: Shortly after Muhammad's death. Abu Bakr, ordered the collection of scattered written fragments.

Standardization (c. 650–652 CE): The third Caliph, Uthman ibn Affan, was done 20 years after Muhammad’s death.
Unafikiri kama biblia ilivyokusanywa na watu wanaojulikana na wasio Julikana hata majina yao,na qur'an nayo ikaandikwa hivyo hivyo?


Qur'an ilifanywa nyepesi kuhifadhika na Allah mwenyewe

وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ
Maana yake kwa Kiswahili:
“Na kwa hakika tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa ajili ya kukumbukwa na kufahamika. Je, yupo mwenye kukumbuka na kuzingatia?”
Suratul Qamar 54:17

Sasa awali iliandikwa kwenye magome ya miti,ikaja kuhifadhika kwenye vifua vya waislamu wengi tu,hapo tunaona kwanza tangu Mtume akiwa hai,bado ilihifadhiwa kwenye vifua vya waislamu ikiwa kamili kabisa

Hata baada ya kufariki Mtume bado qur'an ilikuwa ile ile,sasa baadae ikaja kuonekana haja ya kuiandika kwenye msahafu mmoja

Kulikuwa na sababu kadhaa,mosi kutokana na vita za mara.kwa mara dhidi ya maadui wa Allah,waislamu wengi walikuwa wanapoteza maisha,hivyo ikaogopewa isije ikapotea hivyo ihifadhiwe

Pili,kulikuwa na tofauti ya lafudhi ya usomaji qur'an kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa maana kutoka mji mmoja hadi mwingine

Ikaonekana kuna haja ya kuwa na lafudhi.moja tu ya usomaji wa qur'an kama iliyokuwepo enzi za Mtume akiwa hai

Sasa je uandikaji na uhakiki ulikuwaje?

Waliitwa wale waliohifadhi qur'an vizur na kusoma qur'an pale na kuhakiki usahihi wake,kwahiyo hakuna herufi wala nukta iliyobadilika wala maana iliyobadilika

Na hapo ukakusanywa msahafu wa qur'an ambayo ndio ambayo tunayo mpaka.leo hii,ipo safi kabisa

Msiwe wajinga wa kumezeshwa kila kitu
 
Biblia ni moja tu, we weka Aya hapa.
Kanisa lipi nitaje, mi naingia kanisa lolote linalomtukuza Mungu Yehova na mtume mwenye nguvu zaidi ya wote aitwaye Yesu kristo.
TAJA KANISA LAKO NA BIBLIA UNAYOTUMIA , MBONA UMEPATA KIGUGMIZI
 
Kanisa lipo? Lipo mji gani? Ana tuongoza wasabato dunia nzima? Mtume wenu alikuwa anakula mtoto wa miaka 9 na huoni shida kumfuata na bado Una tetea ndoa za watoto.

Mohammed alioa make wa mtoto wake wa kufikia. Alifumaniwa akiwa anamla mtumwa wake Maria mkoptiki kwenye kitanda cha mkewe bi sada.

Waulize hawa unaowafuata

SDA Kinship International Logo

1f12c8_cc83b4fecd81443fa50f2b648b44f2c0f000.jpg


An LGBTQIA+ affirming community for current & former Seventh-day Adventists​

Everyone deserves to live authentically without fear, judgement, or isolation​

Tell me more





A place to feel seen, safe, and supported—exactly as you are​

It’s time to finally feel understood. Our Kinship community members have been in your shoes, and we're here to help you find your footing, every step of the way.



We believe God's love embraces everyone, no matter their sexual orientation or gender identity. Kinship is all about creating a safe space for meaningful conversations and collective learning. Whether through in-person gatherings or group chats, we’re here to listen, share, and grow together through genuine connections.



We are not a church, but we want to bring greater compassion into the Seventh-day Adventist community and beyond.




We’re so glad you found us. Welcome!
Pride Sabbath. Gay and Trans Seventh day Adventists and Allies




Young individual with pink hair and rainbow flag_edited.jpg



LGBTQIA+ Folks​

Move from feeling rejected or isolated to living a life that’s authentic to who you truly are.




In our Kinship community, you’re welcome to practice any faith, or none at all, and connect with others without isolation, fear, or judgment.



Wherever you fall within faith and under the LGBTQIA+ umbrella, you’re safe here.
Learn more

SDA Kinship at Capitol Pride DC



Families & Friends​

You have the power to help those you care about feel protected and accepted.



Our Kinship community members support families in balancing traditional beliefs with acceptance for their LGBTQIA+ loved ones—fostering safe, supportive spaces for everyone.



We can guide you in creating a loving, inclusive dynamic.
Learn more

Family with gay son



Faith Leaders​

As faith leaders, you should feel equipped to share God's message of for all. That includes LGBTQIA+ people and their families.



You can learn to minister with openness and acceptance, even within the framework of traditional teachings.



Kinship provides tools and resources to show you how.
Learn more



Inclusivity and acceptance are the foundation of a strong community​

Adventist Person holding rainbow LGBTQ+ pride flag




Welcome to SDA Kinship International​



Since 1976, Seventh-day Adventist (SDA) Kinship International has developed and nurtured a diverse, affirming community of LGBTQIA+ folks, families, friends, and allies.



We embrace the journeys and relationships of queer Adventists—current and former—who are seeking a safe space.


The Kinship community provides an affirming environment for respectful dialogue and useful resources. We aim to foster understanding and acceptance among the Adventist community.
 
Hujajibu swali , hata biblia ya Queen James unaifuata? Huyo unayemfuata alikuwa jike au dume ? Mbona hata huyo aliyekamatwa na kijana wa kiumbe aliyeweka chupi begani alizaliwa na mama wa miaka 9 . Huyo alompa mimba alimuoa lini ?
Una uhakika gani alizaliwa na mama wa miaka 9? Biblia ya Queen James ni ipi?
 
Biblia ni moja tu, we weka Aya hapa.
Kanisa lipi nitaje, mi naingia kanisa lolote linalomtukuza Mungu Yehova na mtume mwenye nguvu zaidi ya wote aitwaye Yesu kristo.
Nani kakuambia biblia ni moja tu?
Haya endelea kusoma Queen James bible
 
Kuongea na watu kama wewe ni ukosefu mkubwa wa akili.
Muhammad alaaniwe kutengeneza kizazi cha watu kama wewe.
Yaani mimi nitoke kazini kudraft 5 years Cyber resilience planning ya mifumo ya afya halafu nije kujadili na xuma kama wewe nini?
Wewe nyang'au wa maporini nikikutana kama nilivyoingia JF dk 5 zilizopita kukuta utakula matusi punga wewe
 
Una uhakika gani alizaliwa na mama wa miaka 9? Biblia ya Queen James ni ipi?
So what? Sisi hatuwahukumu hawa hata kama wanakosea, mwenye hukumu ni Mungu. So far umeshindwa kuleta andiko kutoka kwenye biblia linosapoti ushoga. Umeshindwa kujibu swali kwamba unatumia Qur'an gani.
 
Back
Top Bottom