Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Udhaifu wa dini ni mafundisho yake mkuu,
Nimeanza fundisho lenu la kumuita Muhammad mtume, huo ni uongo, Muhammad hana sifa za kuwa mtume....nimeweka hoja moja ya uovu wa Muhammad wa kujitwalia wake kimabavu, mleta mada akasema kabla hatujafika mbali nimtajie idadi ya wake za Muhammad.


Nimemtajia 13 ye akasema walikuwa 11, hapo ameshindwa kutetea hiyo 11, kaingia mitini.

Sasa, unaweza kuendeleza hapa alipokwama mwenzako ama nikupe hoja nyingine ya udhaifu wa hii dini ya Allah?
Nimekwamba wapi boss

Uliombwa ushahidi wa kudhibitisha kwamba Mtume alioa kwa mabavu hujaleta

Sasa nani ni mbabaishaji hapa?
 
Una uhakika gani alizaliwa na mama wa miaka 9? Biblia ya Queen James ni ipi?
1793646814387.jpeg
 
Huu ni ujinga wa nyie msiomuamini Mungu,kwahiyo sipo hapa kwa jambo hilo
Buddha ana Mungu, kila dini ina Mungu tupe uhakika wa huyo Mungu wako una uhakika gan ndie Mungu na hicho kitabu ni chake kama sio upuuz
 
Nimekwamba wapi boss

Uliombwa ushahidi wa kudhibitisha kwamba Mtume alioa kwa mabavu hujaleta

Sasa nani ni mbabaishaji hapa?
Sijaleta ama wewe ndo hujaona? Aliyeomba ushahidi ameona jibu.
We mbona hadi saahii unashindwa kutetea hoja yako ya wake 11?
 
Wakimbizi wengi hutoka nchi za kiislam
Lakin pia hao wakimbizi wamekimbia kwao ila wamefika ulaya wanataka leta sheria kama alizoacha kwao, sharia low, kutokufuga mbwa na kula kitmoto
Mkuu amka usije ukajikojolea
 
Buddha ana Mungu, kila dini ina Mungu tupe uhakika wa huyo Mungu wako una uhakika gan ndie Mungu na hicho kitabu ni chake kama sio upuuz
Wajinga kama nyie sina la kujadiliana na nyie,watu ambao mnadhani mmeokotwa tu mkatokea hapa duniani
 
Sijaleta ama wewe ndo hujaona? Aliyeomba ushahidi ameona jibu.
We mbona hadi saahii unashindwa kutetea hoja yako ya wake 11?
Nitetee nini sasa boss,narudia tena Mtume alikuwa na wake 11 tu

Sitarajii utaniuliza tena hili swali,acha ujinga
 
Nimeruka wapi si ulitaka nikuonyeshe huyo mama wa Mungu wako alimzaa mtoto wake akiwa miaka9 ? Au ulitaka nin i?
Mariam wa kwenye Qur'an au? Kwani Issa bin Mariam sio Yesu? Kwenye Qur'an imeandikwa kwamba roho mtakatifu alimpuliza kwenye naniliu yake ndipo akabeba mimba.
 
Wajinga kama nyie sina la kujadiliana na nyie,watu ambao mnadhani mmeokotwa tu mkatokea hapa duniani
Unafikir kati ya mimi na wewe nani kilaza wewe unaeamin miungu ya kiarabu na mimi. Yaan babu yako hakuwa na mungu mpaka alipoletewa mungu na hao mabwana zake
 
Nitetee nini sasa boss,narudia tena Mtume alikuwa na wake 11 tu

Sitarajii utaniuliza tena hili swali,acha ujinga
Kwa hiyo kwa sababu we umeamua kuwa mpumbavu ndo usiulizwe?
Hata waislam wenzio wanakuona empty. Ukisema 11, lazima useme Maria na Rayhanah ni watu gani kwa Muhammad. Kama huelezi hayo we ni empty tu
 
Mariam wa kwenye Qur'an au? Kwani Issa bin Mariam sio Yesu? Kwenye Qur'an imeandikwa kwamba roho mtakatifu alimpuliza kwenye naniliu yake ndipo akabeba mimba.
Kwani tunaongelea yesu yupi , si huyu aliyemzaa huyo uliyemfanya Mungu? Alizaliwa na katoto cha miaka 9 ? Jee huyo alompa mimba hakuwa pedophile? Nimekuambia kaangalie Encyclopedia ya Roman Catholic kwenye chapter ya mary
 
Kwani hii ndiyo biblia ambayo wakristo wote tunaitumia? Unajua kwamba kuna gay friendly Qur'an? Je ni Qur'an ambayo waislam wengi wanaitumia?
Hiyo haijaandikwa Bible wala qurani umeanza kupata joto poa hata bado
 
Nitetee nini sasa boss,narudia tena Mtume alikuwa na wake 11 tu

Sitarajii utaniuliza tena hili swali,acha ujinga
Pia alikuwa na mateka kibao wa kivita ambao alikuwa na haki ya kuwala. Maria mkoptiki ni mtumwa aliyepewa kama zawadi kutoka misri.

Mkewe bi Hafsa alimfuma juu ya kitanda chake kiasi kwamba wale wa Mohamed waliungana kumnunia karibia mwezi mzima.

Quran 66:1 ilishushwa kwa sababu ya huu mgogoro,sio kumkemea Mohamed kwa tabia mbaya dhidi ya Hafsa bali kumpa Mohamed free pass kwa kosa alilolifanya.
 
Unafikir kati ya mimi na wewe nani kilaza wewe unaeamin miungu ya kiarabu na mimi. Yaan babu yako hakuwa na mungu mpaka alipoletewa mungu na hao mabwana zake
Wewe ni mjinga sana ujue,eti kuna miungu ya kiarabu na kiafrika,ndio maana kujadiliana na watu kama nyinyi ni matumizi mabaya ya muda
 
Kwani tunaongelea yesu yupi , si huyu aliyemzaa huyo uliyemfanya Mungu? Alizaliwa na katoto cha miaka 9 ? Jee huyo alompa mimba hakuwa pedophile? Nimekuambia kaangalie Encyclopedia ya Roman Catholic kwenye chapter ya mary
Miaka 9 ya mama yake Yesu unaipata wapi?
 
Back
Top Bottom