Ertugrul Bey ,
Khaibar ukitumia akili yako vizuri
Mungu anaweza kutamka haya maneno???
Al-Baqarah 2:120
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ ٱلْيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعْتَ أَهْوَآءَهُم بَعْدَ ٱلَّذِى جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِىٍّ وَلَا نَصِيرٍ ١٢٠
Never will the
Jews or
Christians be pleased with you, until you follow their faith. Say, “Allah’s guidance is the only ˹true˺ guidance.” And if you were to follow their desires after ˹all˺ the knowledge that has come to you, there would be none to protect or help you against Allah.
Ukiangalia
historia ya waarabu, wayahudi plus wazungu kwa nyakati hizo unahisi haya ni
maneno ya Mungu au mtu aliyejawa chuki,hasira,jazba,papara,mhemko n.k??
1) Wachina hawajatajwa.
2)Wajapan hawajatajwa.
3)Wahindi hawajatajwa.
Uislamu una
nguzo kuu
tano.
Swali: Adam aliwahi kuzifanya hizo nguzo zote tano?? Naomba ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu.