Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Soma vizuri Qur'an yako jinsi inavyosema kuhusu injili na torati. Pia soma Qur'an 10:94,hakuna sehemu Qur'an inasema wakristo na wayahudi hatuna injili na torati.

Hakuna sehemu Qur'an inasema vitabu vyetu vimechakachuliwa,hayo ni mapokeo ya walimu wa madrasa kuja kwenu wanafunzi. Kwanini? Sababu Qur'an inathibitisha vitabu vyetu wakati huo huo ikiwa imetofautiana navyo.

Hii inaitwa the islamic dilemma.
Sawa ila jibu hayo maswali niliyokuuliza ili tuone kama kweli hiyo Injil na Taurat za Allah ndio h

Sawa basi jibu hayo maswali niliyokuuliza ili tuone kama kweli hiyo Injil na Taurat zenu ndio like za Allah
 
Go to exmuslim

r/exmuslim1y ago
u/Martian_Citizen678
Hafsa, Adult Aisha, Fatima bint Muhammad are my wives in Jannah
Join

https://www.reddit.com/r/exmuslim/

Mbona unaongelea aya tofauti wakati mimi naongelea hiyo ya kupulizwa wewe unaongelea aya ya kuhifadhi utupu
Acha upotoshaji

Did Allah really blow his spirit into Mary's private parts?​

(Question/Discussion)

did-allah-really-blow-his-spirit-into-marys-private-parts-v0-nvhbyhd75s2f1.jpeg
r/exmuslim - Did Allah  really blow his spirit into Mary's private parts?'s private parts?

Quran 66:12

ومريم ابنت عمران التي احصنت فرجها فنفخنا فيه من روحنا وصدقت بكلمات ربها وكتبه وكانت من القانتين

Wamaryama ibnata AAimrana allatee ahsanat farjaha fanafakhna feehi min roohina wasaddaqat bikalimati rabbiha wakutubihi wakanat mina alqaniteena

And Mary Amran's daughter who remained chaste (protected) her genital parts between her legs, so We blew in it from Our Soul/Spirit , and she confirmed/was truthful with her Lord's words/expressions, and His Books , and she was from the worshipping humbly

Doesnt farjaha means female genitalia?

Why did Allah blow into Mary's private parts?
 
Soma Qur'an 66:1 kisha nenda kasome tafsir ili ujue kwanini hiyo sura ilishushwa. Sio tu unaishia kunilaumu kwamba mimi ni mpotoshaji.
Aya iliteremsha kwa sababu ya mambo ya asali na inajulikana hivyo kwa hiyo hicho kisa chako baki nacho tu
 
Kwa jinsi panavyofukuta namna hii ukitia kibiriti tu panawaka

Naipongeza ccm kwa kutunza amani ya nchi hii
 
Waraqah alisema aliyekutana na Musa jangwani?
Jibril alitajwa hata kwenye sura za Qur’an tena kwa jina hilo la Jibril na sio Namus kama alivyotaja Waraqah

Uwe unafuatilia vizuri Waraqah hakusema Jibril ila Namus na hakutaja habari za Musa jangwani ila alisema aliyetumwa kwa Musa
Hebu kasome Hadith kuhusu Mohamed na experience yake ya Kwanza kule pangoni hira.

Sahih bukhari book 1,volume 1, number 3

Mwanzoni mwa Ufunuo wa Kiungu kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani zimshukie) ulikuwa katika mfumo wa ndoto nzuri ambazo zilitimia kama mchana wenye mwanga mkali, kisha upendo wa upweke ukamjaliwa. Alikuwa akienda faraghani katika pango la Hira ambako alikuwa akiabudu (Mwenyezi Mungu pekee) mfululizo kwa siku nyingi kabla ya kutamani kuona familia yake.

Alikuwa anachukua chakula cha safari kwa ajili ya kukaa huko kisha akarudi kwa (mkewe) Khadija ili kuchukua chakula tena vivyo hivyo hadi ghafla Ukweli ukamteremkia alipokuwa katika pango la Hira. Malaika akamjia na kumwambia asome. Mtume akajibu, “Sijui kusoma.” Mtume akaongeza, “Malaika alinikamata (kwa nguvu) na kunibana sana hadi nisiweze kuvumilia tena. Kisha akanifungua na tena akaniambia nisome nami nikajibu, ‘Sijui kusoma.’ Kisha akanikamata tena na kunibana mara ya pili hadi nisiweze kuvumilia tena. Kisha akanifungua na tena akaniambia nisome lakini tena nikajibu, ‘Sijui kusoma (au nisome nini)?’ Kisha akanikamata mara ya tatu na kunibana, kisha akanifungua na akasema, ‘Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba (vyote vilivyopo), ameumba mwanadamu kutokana na donge la damu. Soma! Na Mola wako ni Mwingi wa Ukaramu.’” (96:1, 96:2, 96:3)

Kisha Mtume wa Mwenyezi Mungu akarudi na Ufunuo huo na moyo wake ukipiga sana. Kisha akaenda kwa Khadija binti Khuwailid na kusema, “Nifunike! Nifunike!” Wakamfunika hadi hofu yake ikapita na baada ya hapo akamweleza kila kitu kilichotokea na akasema, “Ninaogopa kuwa kitu kinaweza kunitokea.” Khadija akajibu, “Kamwe! Wallahi, Mwenyezi Mungu hatakuaibisha kamwe. Wewe unahifadhi uhusiano mzuri na jamaa zako, unasaidia maskini na wahitaji, unawahudumia wageni kwa ukarimu na unawasaidia wanaostahili walioathiriwa na majanga.”

Kisha Khadija akamsindikiza kwa binamu yake Waraqa bin Nawfal bin Asad bin ‘Abdul ‘Uzza, ambaye katika kipindi cha Kabla ya Uislamu alikuwa amekubali Ukristo na alikuwa akiandika maandishi kwa herufi za Kiebrania. Alikuwa akiandika kutoka katika Injili kwa Kiebrania kiasi alichotaka Mwenyezi Mungu amwandikie. Alikuwa mzee na alikuwa amepoteza macho yake. Khadija akamwambia Waraqa, “Sikiliza hadithi ya mpwa wako, ewe binamu yangu!” Waraqa akauliza, “Ewe mpwa wangu! Umeona nini?”

Mtume wa Mwenyezi Mungu akamweleza kila alichokiona. Waraqa akasema, “Huyu ndiye yule anayehifadhi siri (malaika Jibril) ambaye Mwenyezi Mungu alimtuma kwa Musa. Laiti ningekuwa kijana na ningeishi hadi wakati ambapo watu wako watakufukuza.” Mtume wa Mwenyezi Mungu akauliza, “Je, watanifukuza?” Waraqa akathibitisha na akasema, “Yeyote (mtu) aliyekuja na kitu kama hicho ulichokileta alitendewa uadui; na ikiwa nitaendelea kuishi hadi siku utakapofukuzwa basi nitakusaidia kwa nguvu zote.” Lakini baada ya siku chache Waraqa alifariki na Ufunuo wa Kiungu pia ukasimama kwa muda.
 
Nimeshakujibu kuwa Waraqah hakutaja habari za Musa jangwani ila alisema kuwa huyo Malaika alikuwa anatumwa kwa Musa
Ukisoma Tora hakuna malaika alikuwa anatumwa kwa Musa, Musa alikuwa ana deal na Mungu direct .
 
Sawa ila jibu hayo maswali niliyokuuliza ili tuone kama kweli hiyo Injil na Taurat za Allah ndio h
Sawa basi jibu hayo maswali niliyokuuliza ili tuone kama kweli hiyo Injil na Taurat zenu ndio like za Allah
Mohamed na Allah wanathibitisha kwamba wakristo na wayahudi wana torati na injili. Wewe muislam wa Karne ya 21 unabisha!!
Aya iliteremsha kwa sababu ya mambo ya asali na inajulikana hivyo kwa hiyo hicho kisa chako baki nacho tu
Quran 5:47
Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake.
Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu

Allah anatwambia wakristo tusipotumia injili yetu kufanya maamuzi Sisi wakristo basi tunakuwa watu wapotevu kabisa. Halafu wewe unasema hatuna injili!!.
 
Sehemu yeyote uislamu ulipo ni majanga tu, uislamu na uuaji vinaendana
Kanisa katoliki limeuwa maelfu ya watu duniani acha porojo zisizokua na maana unafahamu vita vya crusades wewe?
1."Vita vya Msalaba — Wakristo dhidi ya Waislamu, hasa katika eneo la Yerusalemu.

2.Inquisition — Watu kuteswa na kuuawa kwa tuhuma za kupinga mafundisho ya Kanisa.

3.Mauaji ya Waprotestanti — Wakatoliki dhidi ya Waprotestanti huko Ulaya.

4.Mauaji ya Wenyeji wa Amerika — Mauaji yaliyofanyika wakati wa ukoloni wa Amerika, ambapo baadhi ya mamlaka za Kikatoliki zilihusika au kuunga mkono ukoloni."
 
Aya iliteremsha kwa sababu ya mambo ya asali na inajulikana hivyo kwa hiyo hicho kisa chako baki nacho tu
Mzee unaweza kuendelea kubisha ila mimi nakushauri kitu kimoja Tu,chunguza historia ya dini yako kama unavyo uchunguza ukristo. Ukiujua ukweli utakuweka huru, uislamu utauacha.
 
Mzee unaweza kuendelea kubisha ila mimi nakushauri kitu kimoja Tu,chunguza historia ya dini yako kama unavyo uchunguza ukristo. Ukiujua ukweli utakuweka huru, uislamu utauacha.
Tupe sababu za kuuacha uislamu
 
So what? Sisi hatuwahukumu hawa hata kama wanakosea, mwenye hukumu ni Mungu. So far umeshindwa kuleta andiko kutoka kwenye biblia linosapoti ushoga. Umeshindwa kujibu swali kwamba unatumia Qur'an gani.
Mkuu huyu vajina usibishane nae yeye amnazo usipoteze nguvu zako kwa uyu vajina
 
Haya ni maoni yake binafsi na hayana backup ya maandiko chief. Jibu swali unatumia Qur'an ipi?
Kwani kuna Qur'an ngapi!? Unamaanisha nini unavyouliza anatumia Qur'an ipi!?
 
Hii verse haina maana unayoitaka wewe,kama unabisha niweke tafsir ya qurtubi au jalalain hapa.
Iweke hapa na mie nikutafsirie kwa madh'hab ya Imam shafii kaunzia asbaabu nnuzul hadi maana ya neno kwa neno.
 
1. Hizi Biblia za lugha zote zimetafsiriwa kutoka kwenye lugha ya kiebrania. Sasa ni wazi kwamba Biblia ya kiebrania ipo
Iko wapi nakala ya biblia ya kiebrania!? Maana uislam msingi wa Qur'an ni lugha ya kiarabu na Qur'an zote zimebaki kwa kiarabu hivyo hivyo isipokua ukitaka kutafsiri unafasiri maana tu. Aya biblia ya kiebrania nakala yake iko wapi!??
Pia kwanini biblia zinapishana baadhi ya maandiko ama mistari!?
2. Yahweh na Jehovah ni jina moja na Mungu mmoja.
Sawa. Kwanini wakristo mna matabaka ama madhehebu na mnatofautiana kiitikadi!? Wapo wanaosema Yesu sio mwana wa Mungu bali ni Mungu mwenyewe,wapo wanaosema ni mtume wa Mungu na wapo wanaosema ni mwana wa Mungu?
Pia kwanini mnasali kimatabaka ama kimadhehebu!? Pentecoste hawezi sali kwa catholic. Kwanini!?
 
Wanachofanya Bokoharam Alshabab ISIS ni mafunzo ya uislamu?
Waumini wakike wanyolewa nywele za chini Kanisani

chupi zinaombewa kanisani lengo kupatikana watoto!!

sijui wanafunzwa kupigana kisi

kushikana chini

Kuna moja mpaka kugongana wanafundishwa Kanisa mbele za watu ❗
 
Hapana. Uislam hauhimizi vita zisizo na maana zinazoathiri miji na watu wasio na hatia.
Wale wanayafanya toka wapi nini agenda yao na je ni sawa kuhukumu uislamu kwa mate ndo ya maghaidi wachache?
 
Wale wanayafanya toka wapi nini agenda yao na je ni sawa kuhukumu uislamu kwa mate ndo ya maghaidi wachache?
Hao ni watu wenye mlengo binafsi wa kisiasa hususan alshabaab ila wanatumia dini kama kisingizio.aana huwezi ukasema unapigania dini huku unaua waislam wenzako hadi wanawake na watoto tena wa kabila nje na wewe.
HAPANA sio sahihi kuhukumu kundi zima kwa uchafu wa watu wachache.
 
Go to exmuslim
r/exmuslim1y ago
u/Martian_Citizen678
Hafsa, Adult Aisha, Fatima bint Muhammad are my wives in Jannah
Join

https://www.reddit.com/r/exmuslim/

Did Allah really blow his spirit into Mary's private parts?​

(Question/Discussion)

did-allah-really-blow-his-spirit-into-marys-private-parts-v0-nvhbyhd75s2f1.jpeg
r/exmuslim - Did Allah  really blow his spirit into Mary's private parts?'s private parts?

Quran 66:12

ومريم ابنت عمران التي احصنت فرجها فنفخنا فيه من روحنا وصدقت بكلمات ربها وكتبه وكانت من القانتين

Wamaryama ibnata AAimrana allatee ahsanat farjaha fanafakhna feehi min roohina wasaddaqat bikalimati rabbiha wakutubihi wakanat mina alqaniteena

And Mary Amran's daughter who remained chaste (protected) her genital parts between her legs, so We blew in it from Our Soul/Spirit , and she confirmed/was truthful with her Lord's words/expressions, and His Books , and she was from the worshipping humbly

Doesnt farjaha means female genitalia?

Why did Allah blow into Mary's private parts?

Before mocking the Quran, please read your own Bible carefully.

In Luke 1:34, Mary asks the angel Gabriel: "How can this be, since I have no relations with a man?"

In Luke 1:35, the angel explains that the Holy Spirit will come upon her and the power of the Most High will overshadow her.

Matthew 1:18–20 also says that Mary became pregnant through the Holy Spirit before living with Joseph as husband and wife.

So let me ask you: How can you believe in the miraculous conception of Jesus in your Bible but mock the Quran for describing the miraculous conception of the same Jesus?

The Quran does not say that Allah physically blew into Mary's private parts. It describes Allah's power and the role of the angel Gabriel.

Furthermore, Quran 66:12 begins by praising Mary for guarding her chastity. The entire point is her purity, faith and obedience to God.

If you want to debate Islam, debate its actual teachings instead of taking Arabic words out of context to make jokes.
 
Bro UMEUA MENDE KWA HYPERSONIC MISSILE.
 
Back
Top Bottom