Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

🤣🤣Yaani mi nasema hakuna hoja ya kiakili, we unasema zipo. Kisha ni mimi ndo niweke? We jamaa chenga kweli 😃

Weka hoja moja ambayo ulisikia mtu aliyesilimu anaitoa ukaona ni ya kiakili Kisha tuijadili.

Naona tutaishia kila mtu kutaka mwenzake aweke, ok mi naweka hoja moja aliisema jamaa mmoja anaitwa mwaipopo. Nafikiri unamjua
Alisema, alipokuwa mkristo alikuwa kiongozi, sasa walikuwa wanatengeneza viwete bandia Kisha wanawaponya na kusema ni muujiza wa Mungu. Hiyo ni moja ya sababu za yeye kuslimu.

Unaona hiyo ni hoja ya kiakili?
Wewe unaonaje,maana naona unanichosha tu hapa,hayo ya mwaipopo yanahisiana na nini hapa

Wewe umesema mtu akiujua Uislamu ataukataa, huwa sitoki kwenye reli boss

Lete hoja zako,kama huna chapa lapa tusipotezeane muda
 
Dhiya El kalbi alimchukua safiaya kama zawadi yake ya mateka wa vita, Mohamed akaambiwa El amechukua mwanamke mzuri kuliko wote hapa khaibar. Dhiya akaitwa kisha Mohamed akampa watumwa 7 Ili abadilishane na safiya.

Mohamed amelala na safiya usiku ,mmoja wa wafuasi wake alishinda nje ya hema usiku kucha. Mohamed anatoka asubuhi akamkuta pale,akamuuliza unafanya nini hapa? Akajibu,nilikuwa nahofia huyu mwanamke asije akakudhuru kwa sababu tumeimaliza familia yake yote.
Hizi stori zako za uongo unatolea wapi!? Uislam unapinga vita kumiliki watumwa. Mtume anamiliki vipi watumwa!? Uislam unakataza zinaa aya mtume analala vipi na Saffiyyah ilhali hajaoana naye? Kumbuka ametoka kufiwa na mumewe hata eda hajakaa.

Eish ndugu yangu huogopi hata kuongopa!?
 
Ndio ujuwe uislamu,haukwepeki,utasilimu
bila kujijua, kuanzia unazaliwa mpaka kufarki
Hujajibu swali, Uislam ulikuwa na mchango gani kwenye invention ya Algebra? Je, Quran au mafundisho ya Uislam ndio yaliyomuongoza? Asingekuwa muislam asingeinvent?
 
Hayo wameyapata wapi kwenye dini ipi wamefunzwa nanani

Yaani mie nikuue kwa mapendekezo yangu uusingizie uislam

Uislam na waislam hatujawahi kuungana na kukubaliana na wasio kua waislam katika masuala ya imani sio masuala ya kijamii

Hao walosema kama mkishika ndoo mnazitia najis kwa mujibu wa dini ipi yaani watu wawahukumu kwa ujinga wao uhusianishe na uislam

Tukija kwa kwa hao wanaoua na kusema Allah Akbar wameamrishwa na dini ipi kufanya wanayo yafanya

Uislam kiasili kuua ni haramu mpaka upatikane uhalali wa kuua

Wanaoteka na wanaoua na kuteka watoto wamefundishwa na uislam upi kufanya hayo

Uislam unampa kila mtu haqqi yake ya kuishi tena ukapiga marufuku makubwa kabisa ya kuua wanawake na watoto hao wanaoua wanaua na kuteka kwa kuufata uislam upi

Sio mimi huu ni UN maana nikisema mie utasema nazusha tokea 2017 waislam wa rohingya wanauliwa kule Myanmar najua unajua ila unajifanya hujui

Waislam wa wa Uighur kule china wanauliwa vya kutosha sana mpaka leo hii

India wanaua mamka kwa maelfu ya waislam ila unajifanya huoni

Bila ya ukristo dunia ingekua mahala salama sana
Mkuu kwa heshima na tahadhima naomba tuishie hapa, tusifike mbali sana.
 
Udhaifu mkubwa wa uislam upo zaidi kwenye matendo ya kishetani: kuua watu, ugaidi wa kujilipua kuwaua wasio waislam, ubaguzi wa kidini, kulazimisha watu kuwa waislam badala ya kushawishi kwa kupitia mafunfisho yenye tija. Hali hiyo imesababisha waislam kuongoza katika kubadili dini, na kuachana na uislam:
Leading Countries muslims converting to Christianity:
    • Iran: Various mission and demographic groups have reported Iran as one of the fastest-growing underground Christian movements in the Islamic world. Estimates of Christian converts range from several hundred thousand to over a million, despite strict state prohibitions against evangelism and apostasy. [1, 2, 3]
    • Indonesia: As the world's largest Muslim-majority nation, Indonesia has historically recorded millions of former Muslims converting to Christianity since the mid-20th century through community outreach and local church growth.
    • Algeria: Particularly within the Berber (Amazigh) community in regions like Kabylie, local reports note thousands of conversions to Christianity over recent years.
    • Sudan: Observers and humanitarian groups have documented millions of reported religious transitions or shifts toward Christianity and traditional beliefs dating back to the 1990s amid regional and civil conflicts.
    • Afghanistan & Iraq: Both nations have seen small but persistent underground networks of Christian converts, numbering in the thousands, who often practice discreetly or face displacement.
    • European Nations (e.g., Germany, UK, Sweden, Austria): Western European churches have reported significant numbers of baptisms and conversion inquiries among Middle Eastern and Persian asylum seekers and refugees.
Kuongea mambo bila ushahidi ni ujinga mmoja wapo

Naomba maandiko ambayo yanafundisha waislamu kuua watu,kufundisha ugaidi na kulazimisha watu kwenye uislamu

Nakukumbusha huwa sipendi porojo kwenye mijadala yangu
 
Leta verse zinazosema haya unayo yasema wewe.

Screenshot_2026-11-02-21-30-23-69_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2026-11-02-21-29-54-08_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2026-11-02-21-28-53-33_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Wewe ungeanza kwa kuorodhesha hoja zako (with reference from the Quran) zinazokufanya ufikiri Uislam ni dini dhaifu saaana..... "Without reference, no right to comment"
Upo sahihi mkuu,anachofanya ni kuleta porojo hapa na kutaka kuhamisha magoli, wajinga wapo wengi sana humu
 
Wewe unaonaje,maana naona unanichosha tu hapa,hayo ya mwaipopo yanahisiana na nini hapa

Wewe umesema mtu akiujua Uislamu ataukataa, huwa sitoki kwenye reli boss

Lete hoja zako,kama huna chapa lapa tusipotezeane muda
Hoja zimemshinda anatafuta pa kutokea na hapaoni. Maswali kuhusu ukristo kashindwa kujibu.
 
Lete ushahidi wa hiyo Ayah katika Qur'an unaohamasisha dhulma dhidi ya wakristo na wayahudi!? Nasubiri ilete.
Safi sana al akhy ,hawa ni kwenda nao kwa stahili hii,usikubali hata kidogo wahamishe magoli ni kheri mjadala uishe lakini sio kutetea ujinga
 

Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu

Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?

Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki yenu dhidi ya Uislamu je,nitakuwa nakosea?

Uislamu pamoja na kuchukiwa na hii inatokana na propaganda ambazo zinapandikizwa duniani kote,lakini kwa uwezo wa Allah bado Uislamu upo imara na kila kukicha wafuasi wapya wanazidi kuijua dini hii na kuwa waislamu kutokana na hoja zenye akili zenye kukinaisha nafsi ya mwanadamu na kuujua ukweli

Mambo ambayo yanatokea Ulaya yapo wazi,ikiwemo hali ngumu ya maisha ya wananchi walio wengi

Ufadhili mdogo wa masomo kwa vijana wanaosoma shule na vyuoni

Kipato cha wananchi kuwa kidogo kiasi kwamba mtu anaweza kufanya ajira mbili na kipato chake hakifiki mwisho wa mwezi

Hayo ni kwa uchache tu,na hali hii imechagizwa zaidi na serikali zao kutakiwa kuchangia fedha zao kwenye jeshi la Nato tofauti na awali ambapo Marekani peke yake ndio alikuwa mchangiaji mkuu

Sasa serikali zao zinapata changamoto za kufadhili mambo yao ya ndani,halafu wanatokea wajinga wachache hapa jf na kuhamishia lawama kwa wahamiaji wa kiislamu.

Kuna wajinga wengine wanaweza kuuliza mbona huko nyuma maandamano hayakuwa na sura ya fujo na machafuko?

Je,mnadhani kila siku mambo yanaweza kuwa sawa tu,siku hizi Gen Z ndio wako front kwenye maandamano mengi,je hiki kizazi unafikiri kinaendeshwa na nini Kama sio hisia zao na utashi wao?

Acheni ujinga,think big

Ni hayo tu!
Mada safi kabisa Sheikh, waelewa tumekuelewa
 
Hoja zimemshinda anatafuta pa kutokea na hapaoni. Maswali kuhusu ukristo kashindwa kujibu.
Siri kubwa ya hawa wajinga ni kwanza wasikutoe kwenye reli ,pili kuwa cool usiruhusu wakupanikishe,control ur emotions, kinachofuata ni wao kutafuta uchochoro wa kukimbia
 
Wewe unaonaje,maana naona unanichosha tu hapa,hayo ya mwaipopo yanahisiana na nini hapa

Wewe umesema mtu akiujua Uislamu ataukataa, huwa sitoki kwenye reli boss

Lete hoja zako,kama huna chapa lapa tusipotezeane muda
Kwani we mzee una kiwango gani cha uelewa!?

Mi nimesema sijawahi kuona hoja yoyote ya kiakili inayotolewa na mtu anayeslimu. We umesema zipo hoja za kiakili, nasema uziweke umekataa unasema mi ndo niweke.

Sasa nimekuwekea hoja ya mtu aliyesilimu kisha unaniambia mambo ya mwaipopo yanahusiana nini: sasa si umelazimisha tangu mwanzo nitoe mfano, naleta mfano huutaki. Una umri gani kwanza maana nisije nikawa napoteza muda na watoto.

Ishu ya Maria na Rayhanah umeshindwa kutetea, halafu unasema nakupotezea muda. Upo sawa kweli we jamaa.

Nasema tena kuwa muislam ni lazima kwanza uwe huujui uislam ukiujua tu haiwezekani kuendelea kuwa muislam.

Hapa nimeshajua hata historia ya mtume wenu fake mudi huujui, sasa nini kingine utajua.
 
Back
Top Bottom