Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Najua alikuwa kibopa mfupi anakitambi fulani cha kuzugia

Ila hata wapigaji nao walichangia kufelisha
Bila kusahau utege fulani hivi kwa chini kama banio la sufuria ya ugali
 
Mbona nasikia makelele toka banda umiza huko
 
Yanga bado ni faida kwake kwani mechi zinazidi kupungua huku gap na Simba likiemdelea kuwa pale pale. Simba ndio wanatakiwa wafanye kazi ya kupunguza gap jambo ambalo mpaka sasa limewashinda.
shughuli imeisha iyo
 
Yanga bado ni faida kwake kwani mechi zinazidi kupungua huku gap na Simba likiemdelea kuwa pale pale. Simba ndio wanatakiwa wafanye kazi ya kupunguza gap jambo ambalo mpaka sasa limewashinda.

Hii sio ligi kuu.
 
Back
Top Bottom