Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii haina uhusiano na mada husika.Mnaanzaje kwa mfano? nyie andaeni tu leso za kutosha kufutia machoziView attachment 2640040
Kocha wenu anasema hakupata muda wa kutosha kujiandaa, ajabu wewe unasema haina uhusiano[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii haina uhusiano na mada husika.
Heading tu inatosha kuonyesha hujui mada inaongelea jambo gani specific.Kocha wenu anasema hakupata muda wa kutosha kujiandaa, ajabu wewe unasema haina uhusiano[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mnaenda Algeria kufanya nini ili mshinde huko ugenini🫣🫣🫣
USM alger ni wepesi huwezi kuwafananisha na wydad, Al ahly or Mamelodi,, ni wadogo sana ila kwa level zenu utopolo hao ni kipimo sahihi kwenuYanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.
Mungu ana makusudi na kila jambo.
Andaa visingizio baada ya mechi.JF.
HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUAMINI YANGA WATASHINDA MCHEZO WAO WA MARUDIANO ALGERIA.
YANI KWA KIFUPI.
YANGA HAWAWEZI KULETA KOMBE.
WALA HAWAWEZI KUSHINDA.
HUWEZI ukashinda kwa mwarabu na kombe likiwa uwanjani.
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.
Mungu ana makusudi na kila jambo.
Kwani wao USM hawana mungu???????? Yanga ilipata mchekea wa timu mbovu na vibonde kufika fainali........Ebu angalia goli la pili walilofungwa kishambaYanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.
Mungu ana makusudi na kila jambo.
Yanga timu mbovu ilizoea kukutana na vibondeAndaa visingizio baada ya mechi.