Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.

Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.

Mungu ana makusudi na kila jambo.
 
Mnaanzaje kwa mfano?! nyie andaeni tu leso za kutosha kufutia machozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FxPEM4VXsAIYz6S.jpg
 
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.

Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.

Mungu ana makusudi na kila jambo.
USM alger ni wepesi huwezi kuwafananisha na wydad, Al ahly or Mamelodi,, ni wadogo sana ila kwa level zenu utopolo hao ni kipimo sahihi kwenu
 
JF.

HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUAMINI YANGA WATASHINDA MCHEZO WAO WA MARUDIANO ALGERIA.

YANI KWA KIFUPI.
YANGA HAWAWEZI KULETA KOMBE.
WALA HAWAWEZI KUSHINDA.

HUWEZI ukashinda kwa mwarabu na kombe likiwa uwanjani.
 
Yani mtufunge 2-0 nyumbani?

Hilo haliwezekaniki nyie endeleeni kutafuta sababu za kuonesha kwanini mtafungwa kama ambavyo mlifanya kwenye 1 leg
 
JF.

HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUAMINI YANGA WATASHINDA MCHEZO WAO WA MARUDIANO ALGERIA.

YANI KWA KIFUPI.
YANGA HAWAWEZI KULETA KOMBE.
WALA HAWAWEZI KUSHINDA.

HUWEZI ukashinda kwa mwarabu na kombe likiwa uwanjani.
Andaa visingizio baada ya mechi.
 
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.

Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.

Mungu ana makusudi na kila jambo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.

Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.

Mungu ana makusudi na kila jambo.
Kwani wao USM hawana mungu???????? Yanga ilipata mchekea wa timu mbovu na vibonde kufika fainali........Ebu angalia goli la pili walilofungwa kishamba
 
JF.

HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUAMINI YANGA WATASHINDA MCHEZO WAO WA MARUDIANO ALGERIA.

YANI KWA KIFUPI.
YANGA HAWAWEZI KULETA KOMBE.
WALA HAWAWEZI KUSHINDA.

HUWEZI ukashinda kwa mwarabu na kombe likiwa uwanjani
 
Back
Top Bottom