Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

Andaa visingizio baada ya mechi.

YANGA ilikuwa inacheza na timu ndogo sana
Bamako.
Marumo.
Clab Africane.
Zalan nk.

HAWAJACHEZA NA TIMU KUBWA KAMA.
MAMELODY.
KAIZER CHEEF
OLANDO
WHYDAD
RAJA
ALHALY NK

CHEZA NA WAKUBWA NDIO UTAJUA UDHAIFU WAKO.

YANGA ni DHAIFU mno
DHAIFU hata kwa Mnyama.
 
Hata Kama watafungwa lakini watapata medali.. 🏅 🏅 🏅
 
Hata Kama watafungwa lakini watapata medali.. [emoji966] [emoji966] [emoji966]
Hilo ndio mseme sio kutuletea habari za matokeo yakiwa tofauti wakati tunajua kabisa Yanga akichezea chache sana ni 3 bila ni bahati tu Yanga hii kuwa fainali ya shirikisho na yote ni kutokana na njia ya vibonde aliyopitia ila sasa ukweli wote unawekwa wazii
 
Hii mechi Lazima tushinde tuwafunge waarabu na makolo

Lazima watapasuka au kujiua

Yaani hii Ni must win match hata bao moja bila hata tusipobeba fresh Ila tushinde

Makolo yakiongozwa na mwanangu baba Swalehe mtoto wa darasa la nne Ni mapuuzi mno
 
Keleleleeeee. Binafsi naipenda sana Simba ila timu yoyote inapocheza na mwarabu huwa naona ni sawa mwarabu akipigwa sababu wametuonea muda mrefu sana. Tatizo ni kuwaombea waarabu mabaya katikati ya uwepo wa vyura ni shida kweli. Ni croooo croo crooo croooo crooo croooo. MiKelele.
 
pamoja na simba kushangilia yanga akifungwa fainali ya cafcc bado ukweli utabaki simba hajafika hatua aliyofika yanga
 
Hapana wote tuna kelele
 
pamoja na simba kushangilia yanga akifungwa fainali ya cafcc bado ukweli utabaki simba hajafika hatua aliyofika yanga
Vipi Ninyi kwenye CAFCL mlifikia wapi mkuu
 
Yani mtufunge 2-0 nyumbani?

Hilo haliwezekaniki nyie endeleeni kutafuta sababu za kuonesha kwanini mtafungwa kama ambavyo mlifanya kwenye 1 leg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawataamini wataoneshwa piraa tendee na pira futari hadi wafuturu bila mfungo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ni Yanga ila unajifanya hauko huko kuepuka aibu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ni Yanga ila unajifanya hauko huko kuepuka aibu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jiambie lolote linakupendeza.
 
Hebu mkuu pumzisha moyo wako. Hapo Utopolo kakutana na timu sio huo upuuzi alikopita.

Subiri anaenda kupigwa 3 hadi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…