Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Upo sahii mkuuUSM alger ni wepesi huwezi kuwafananisha na wydad, Al ahly or Mamelodi,, ni wadogo sana ila kwa level zenu utopolo hao ni kipimo sahihi kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahii mkuuUSM alger ni wepesi huwezi kuwafananisha na wydad, Al ahly or Mamelodi,, ni wadogo sana ila kwa level zenu utopolo hao ni kipimo sahihi kwenu
Andaa visingizio baada ya mechi.
Hilo ndio mseme sio kutuletea habari za matokeo yakiwa tofauti wakati tunajua kabisa Yanga akichezea chache sana ni 3 bila ni bahati tu Yanga hii kuwa fainali ya shirikisho na yote ni kutokana na njia ya vibonde aliyopitia ila sasa ukweli wote unawekwa waziiHata Kama watafungwa lakini watapata medali.. [emoji966] [emoji966] [emoji966]
Keleleleeeee. Binafsi naipenda sana Simba ila timu yoyote inapocheza na mwarabu huwa naona ni sawa mwarabu akipigwa sababu wametuonea muda mrefu sana. Tatizo ni kuwaombea waarabu mabaya katikati ya uwepo wa vyura ni shida kweli. Ni croooo croo crooo croooo crooo croooo. MiKelele.Hii mechi Lazima tushinde tuwafunge waarabu na makolo
Lazima watapasuka au kujiua
Yaani hii Ni must win match hata bao moja bila hata tusipobeba fresh Ila tushinde
Makolo yakiongozwa na mwanangu baba Swalehe mtoto wa darasa la nne Ni mapuuzi mno
Hapana wote tuna keleleTatizo la Chura ndo hili. Keleleleeeee. Binafsi naipenda sana Simba ila timu yoyote inapocheza na mwarabu huwa naona ni sawa mwarabu akipigwa sababu wametuonea muda mrefu sana. Tatizo ni kuwaombea waarabu mabaya katikati ya uwepo wa vyura ni shida kweli. Ni croooo croo crooo croooo crooo croooo. MiKelele.
Okey. Sawa.Hapana wote tuna kelele
Vipi Ninyi kwenye CAFCL mlifikia wapi mkuupamoja na simba kushangilia yanga akifungwa fainali ya cafcc bado ukweli utabaki simba hajafika hatua aliyofika yanga
Case [emoji735]USM alger ni wepesi huwezi kuwafananisha na wydad, Al ahly or Mamelodi,, ni wadogo sana ila kwa level zenu utopolo hao ni kipimo sahihi kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawataamini wataoneshwa piraa tendee na pira futari hadi wafuturu bila mfungo.Yani mtufunge 2-0 nyumbani?
Hilo haliwezekaniki nyie endeleeni kutafuta sababu za kuonesha kwanini mtafungwa kama ambavyo mlifanya kwenye 1 leg
Wee ni Yanga ila unajifanya hauko huko kuepuka aibu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keleleleeeee. Binafsi naipenda sana Simba ila timu yoyote inapocheza na mwarabu huwa naona ni sawa mwarabu akipigwa sababu wametuonea muda mrefu sana. Tatizo ni kuwaombea waarabu mabaya katikati ya uwepo wa vyura ni shida kweli. Ni croooo croo crooo croooo crooo croooo. MiKelele.
We jiambie lolote linakupendeza.Wee ni Yanga ila unajifanya hauko huko kuepuka aibu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jiambie lolote linakupendeza.
Pamoja sana mkuuUpo sahii mkuu
Pamoja sana mkuuCase [emoji735]
[emoji482]Pamoja sana mkuu
Hebu mkuu pumzisha moyo wako. Hapo Utopolo kakutana na timu sio huo upuuzi alikopita.Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema USM Alger ni vibonde, bali watatafuta sababu nyingine maana hawatakosa.
Mungu ana makusudi na kila jambo.