Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

Mngekua na uwezo mungekua musha fuzu nyie ni wenzetu tu ila mna kiburi na kujiona. Raja, Mamelodi, Espence, Wydad hawaombi Mungu kama nyie ndio ujue nyie ni wa hapa hapa tu
Mbona hujamtaja bingwa mara nyingi zaidi Al ahly au na yeye haombi mungu ?
 
Ni kweli Yanga SC, Safari yake inaishia hapa hapa makundi, Jumapili kwa Mkapa anapigwa na akienda Congo anapigwa na Mazembe
Kwa Mkapa hatoki mtu ni stori imehamia Yanga! Ngoja tuone!
 
Kwa maandalizi ambayo yanaendelea huku Avic Town siwaoni US Monastir Kama watatoka.

Afu kingine mkuu @mbwe,Sisi hatutaishia robo kwa nature ya wapinzani ambao tutakutana nao
 
Underdog tumempiga africaine kwake,tukapiga mazembe tatu,monastir akacheza Kama mgeni kwake,jumapili lazima aliwe kichwa
 
Yanga wanapofungwa hadi mbinguni wanafurahi.
 
mbona hujasema kama mazembe akipigwa au kutoa sare na Bamako msimamo utakuaje?
 
Yan sijawahi kutana na Mashabiki wa Soka Vichwa Maji km wa Kibongo..Ivi huo Mpira mnao uongelea ni mpira gani? Huu wa Duara ? Unaocgezwa kwenye uwanja wa Wazi ama?? Wanafungwa PSG 3-0 na Rennes..Hii PSG yenye Messi,Mbappe,neymar,vitinha,Ramos,,Achraf hakimi, marco verrati, juan bennat, kimpembe, Renato sanchez..Watu wana UEFA tatu tatu humo mpk Tano na Tuzo binafs kibao..Rennes wana nn..sembuse Monastir kufungwa na Yanga..Sas Nini maana ya mpira wa Miguu kuchezwa km tayari matokeo yanajulikana..Kwel Tanzania kn Wagonjwa weng wa Akili..Bas mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa..Acheni Upumbavu mpira haujawah kuwa na Matokeo mpk uchezwa dk90..! Alieanzisha huu uzi aende Hospital akachekiwe akili Im sure He is Mental Illness Trust me📌
 
Hata kama yanga haitafuzu kwenye hatua inayofata ya robo fainali haina shida Kwa sababu malengo ya club msimu huu ilikuwa ni kushiriki na kufika hatua ya makundi tu ikipita huko mbele ni ziada tu.
 
Unashangaa wenzio kwa kutabiri matokeo halafu na wewe unasema "mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa". Kama unadai hao wenzio wana matatizo ya akili, sijui wewe u hali gani.
 
Mazembe ipi ya kumfunga Yanga
 
Unashangaa wenzio kwa kutabiri matokeo halafu na wewe unasema "mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa". Kama unadai hao wenzio wana matatizo ya akili, sijui wewe u hali gani.
Soma nlicho andika hakikisha umekielewa sijasimama kwa mtu npo on Win Win situation..📌
 
Eti akiend kule Atafungwa nyoro nyoro nyoro nyoro..Emu acheni kujipangia matokeo jamani..Mpira unatoaga matokeo ya kikatili kwasababu unachezwa kweny uwanja wa wazi..na ili mliamini hili Tukutane Tare19 hpa Usiku matokeo tutakuw nayo mkonon ndo mjue bado hamjaujua mpira Ndugu zangu Wachen vimaneno
 
NANUKUU... Mazembe akimfunga Real Bamako... Mwisho wa kunukuu..!! VIPI ASIPOMFUNGA?
 
TP Mazembe hashindi, hicho ndio kinawapa uhakika Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…