Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Au ulikuwa ujazaliwa?Kutoka kuingia fainali za cafcl mpaka kutamani kundi la Simba. Simba kwa Sasa ipo kiwango Cha Chini ndio maana unaongea hivyo. Simba iliwahi kumaliza group stage ikiwa ya kwanza ikiongoza dhidi ya Al Alhly na hata kumfunga hapa nyumbani. Tuwe na heshima.
Kwani mpaka sasa kimemshinda nini yanga kumchapa mwarabu kwani wana nini kipya cha ajabu mbona yanga inakikosi kizuri kimempiga hadi simba 5 basi kama mmeshindwa kulamba point kadhaa sasa una uhakika gani kwamba yanga wangewekwa kwenye kundi la simba wangetoboa? Mpira hauhitaji nani mchawi mpira unahitaji juhudi na mapambano ya kweli hapa tz tushazoea lawama japo sio mfuatiliaji sana wa mpiraMwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Au ulikuwa ujazaliwa?
Acha kutafuta huruma hapa upewe kundi la simba gani ,,mpira wa makundi ni mahesabu sio kukimbia kimbia tu kama majinga,,hapa akina marumo hawamo,pambana na kindi lako😜😜Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Mnapenda kubalance mambo,kwahiyo mkiona kundi lenu ngumu lazima bingwa atoke hapo,Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
Kwenye kundi la simba, naamini hata nusu fainali timu zake hazifiki.
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Goli la cannavaro unalikumbuka wewe?
Mbeba hirizi aliingiwa na mteru.Muongoze kundi gani nyie vibwengo [emoji196]? Cr belouzidad amewakanda na yeye akakandwa na yule mliyetegemea ni mchekeo ... Jana mshukuru ile kafara mliyoifanya kwa kisingizio cha dua zimewasaidia sana .
Nyie ambao hamkimbii kimbii, tokea msimu huu umeanza, ni mechi ipi ambayo mmeshinda?Acha kutafuta huruma hapa upewe kundi la simba gani ,,mpira wa makundi ni mahesabu sio kukimbia kimbia tu kama majinga,,hapa akina marumo hawamo,pambana na kindi lako[emoji12][emoji12]
Ndo mjue huku sio level zenuhe saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
Hakuna timu itakayofika fainali hapo.Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
Na akampasua na kuongoza kundi au vipiKwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Au ulikuwa ujazaliwa?
Wewe shinda gem zako ,,acha kutafuta huruma huku si mlisema nyie ni bora mnakikosi ,, sa hz kina walamba mnakimbilia makundi ya wengne😜Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Ngao ya jamii tumeshinda wew kule kweny kundi unavuta mkia😝😝Nyie ambao hamkimbii kimbii, tokea msimu huu umeanza, ni mechi ipi ambayo mmeshinda?
Wala hakuna tatizo. Kwanza sisi Yanga kwa msimu huu malengo yetu makuu yalikuwa ni kufika hatua ya makundi.timuhio ni ahali acha kuzunguka mkuu
Siamini kama mtani uliyekua unatamba una kikosi kuzuri umekata tamaa mapema.Wala hakuna tatizo. Kwanza sisi Yanga kwa msimu huu malengo yetu makuu yalikuwa ni kufika hatua ya makundi.
Hivyo tukiishia hatua hii, poa tu. Tutajipanga vizuri msimu ujao.