Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)

Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
 
Uto mmepata kiwewe. Msisahau Mazembe (jana walikuwa Wazembe); Monastir na Real Bamako wote wako juu yenu ktk ranking wa vilabu Africa.
 
410506E6-7E33-4A20-AFB0-EBA159EA07C0.jpeg
 
Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)

Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
Yanga ikikomaa inaweza kuongoza kundi, au hata kushika nafasi ya pili. Wakilewa sifa, watashika nafasi ya 3!

Kwa upande wa simba, uko sahihi. Wakijitahidi sana, basi ni nafasi ya 3! Ila uhakika ni kubakia mkiani. Na huu ni ukweli mchungu.

Morali ya timu ya simba iko chini sana katika mechi mbili za kimataifa walizocheza, ukilinganisha na wapinzani wao.
 
Hizi mechi mbili zinaxofuatana zina umuhimu mkubwa kwa timu zetu kuonyesha uelekeo uliyo sahihi
 
Ulipojibu hapa ndo nikajua kumbe ww sio mtabiri ni mtabora
Unaleta mahaba yako
Mahaba gani tena. Kipi ambacho sio sahihi hapo? Ranks haziamui matokeo alafu zinabadilika kama msimamo wa ligi timu inapanda na kushuka kulingana na muendelezo wa matokeo/kiwango
 
Back
Top Bottom