Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #41
Moderators naomba msiufute huu uzi tutafanya rejea baada ya mechi za mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi goli zote zitafungwa na forward gani pale Simba?Game nne zilizobaki, Simba Sc atapoteza game moja tu...
Vipers 1 : 3 Simba
Simba 4 : 1 vipers
Simba 3 : 0 Horoya
Raja 4 : 2 Simba
wenye timu zao wanasemaje, ?Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
Yanga ikikomaa inaweza kuongoza kundi, au hata kushika nafasi ya pili. Wakilewa sifa, watashika nafasi ya 3!
Kwa upande wa simba, uko sahihi. Wakijitahidi sana, basi ni nafasi ya 3! Ila uhakika ni kubakia mkiani. Na huu ni ukweli mchungu.
Morali ya timu ya simba iko chini sana katika mechi mbili za kimataifa walizocheza, ukilinganisha na wapinzani wao.
Kuna asilimia kubwa za ukweli.Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
Amina.....na itakuwa hivyo.Inshallah ipo siku nitatoboa
Toa sababu chief ..Niamini, Yanga hatopita. You will he surprised . Tunza hii comment
Yanga anashinda home and awayKwa hiyo hao real Bamako wasitegemee kupata point tena?
Hata ya utopolo ee?
Utopolo 🚮Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
KibuHizi goli zote zitafungwa na forward gani pale Simba?
Ambao pia hawawezi kuanza wote kwenye mechi hizoKibu
Boko
Baleke
Kyombo
Bado sijapata mkuu. Nipe dili
Mkeka wako umechanika mapema tu, hakuna haja ya kufuatilia matokeo mengineDay 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
pung🅰 wwModerators naomba msiufute huu uzi tutafanya rejea baada ya mechi za mwisho
Tunaendelea kusaka manabii popote walipo, hakuna kujificha1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
-----------------
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)