Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

Halafu kwanini utuombee mabaya?
Wapi nimewaombea mabaya tena. Mimi nimetoa mtazamo wangu kulingana na jinsi nilivyoziangalia timu zote 8 za makundi husika au ulitaka niseme simba ataenda kumpiga raja cqsablanca kwake kitu ambacho hakina uhalisia
 
Wapi nimewaombea mabaya tena. Mimi nimetoa mtazamo wangu kulingana na jinsi nilivyoziangalia timu zote 8 za makundi husika au ulitaka niseme simba ataenda kumpiga raja cqsablanca kwake kitu ambacho hakina uhalisia
Mbona nyie mlipiga yule mtunis?
 
Simba ipo top ten Africa ila mlipigwa kama Ngoma na Horoya ambayo mmeizidi kiwango kwa mujibu wa CAF.

We endelea tu kuamini ujinga wa viwango!
Simba wamejificha kwenye propaganda ya ranks za caf wakati ukiangalia trend ya ubora wa timu yao inazidi kushuka labda kwa mawazo yao wanafikiri izo ranks zinabaki ivyo ivyo milele
 
Uto mmepata kiwewe. Msisahau Mazembe (jana walikuwa Wazembe); Monastir na Real Bamako wote wako juu yenu ktk ranking wa vilabu Africa.
Kwan mazembe si hana historia ya kufungwa hapo kwa mkapa alipotoka muarabu baada ya kutoka Azam
 
Khaaa!!!
Sijapata kuona hizi mathematics... Kali sana Jo.
 
umesema kweli simba tumekalia moto wa gesi
Wenzako bado wanaishi kwenye fantasy ya kufika semi finals na propaganda za "ranks za caf" na "kwa mkapa hatoki mtu", hawaoni kwamba kwa miaka miwili mfululizo chart ya ubora wa timu yao inazidi kushuka kila msimu
 
Simba game ya mwisho yuko na RAJA na sio HOROYA
 
Swadaktah 💪💪💪💪
Sisi ndo Youngaaaaaahhhhhhhhh
 
Simba wasipobadilika kwa kebehi hizi, wanarudi walipotokea.
 
Simba wasipobadilika kwa kebehi hizi, wanarudi walipotokea.
Bado wanaishi kwenye fantasy ya kufika semi finals na propaganda za "ranks za caf" na "kwa mkapa hatoki mtu", hawaoni kwamba kwa miaka miwili mfululizo chart ya ubora wa timu yao inazidi kushuka kila msimu wakija kushtuka wamepigwa gap mpaka na singida united. Rage apewe phd ya heshima, alizisoma akili zao siku nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…