Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Mm ni YANGA ila msimu huu hatuna timu
Simba wamejipanga sana
Simba wamejipanga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusimlazimishe kuona pengine haoniWe kafie mbele uko kama ujaona basi utaonyeshwa kwa nguvu
Mzize ni mzito sana ,Denis nkhane kwa kasi na talent yake angekuwa na nguvu za mzize angekuwa top scorerMzize bado mchanga tumpe muda mkuu.
Kama ni kubeba ndoo ya kimba sawa, lakini ya nbc, sahauUko sahihi kabisa, mimi ni kolo ila Yanga hii ya leo ikipata team chemistry vizuri, wanabeba ndoo ya 30 hawa 😂🙌🏿
Ngoja ngao ya jamii Azam wawanyonye mavi ndo mtaelewa Leo mlikuwa mnasukuma mleviKwa Yanga hii jiandae kupata stroke.
Mbape wa CongoYule Nzengeli ni mtu na nusu.
Kunahitajika tu mbadala wa Mayele, tena ikibidi wasajiliwe mastraika wawili hata kama mmoja atakuwa wa ndani. Huyu Mzize huwa ananitibuaga sana anayofanya uwanjani.
Walivokuja na wao???sasa wewe ulitaka iwe nafasi ya ngapi we kwel kolo wizard .. ligi ya south sio ya kitoto ni ngumu mno mliendaga kule mkala chuma 4
Wao walivyokuja???
Hawa walikula chuma 3 kwa mkapa haposasa wewe ulitaka iwe nafasi ya ngapi we kwel kolo wizard .. ligi ya south sio ya kitoto ni ngumu mno mliendaga kule mkala chuma 4
Hayo mengine yote nimeyavumilia tu, ila hapa kwenye kipengele cha CAFCL nimeshindwa kuvumilia aiseee. Yani mechi moja tu, tena na KC imetosha kukupa hiyo picha ya Yanga kufanya vizuri zaidi. Hebu fafanua zaidi ilitupate hiyo ulopata wewe.Naiona yanga ikifanya vizuri zaidi klabu bingwa barani afrika msimu huu,...
alikuweka kamba 4.Hamna timu nyie aisee. Sasa leo umeona nini pale?
Uwezi kuvumilia maana maumivu ni makali tofauti na mlivyotegemea, wengi mlitegemea kiwango kibovu baada ya kocha Nabi kuondoka bila kuelewa kuwa yanga aikutengenezwa kumzunguka mtu mmoja, bali yanga inaongozwa na team work kuanzia viongozi mpaka chini kwa mashabiki,Hayo mengine yote nimeyavumilia tu, ila hapa kwenye kipengele cha CAFCL nimeshindwa kuvumilia aiseee. Yani mechi moja tu, tena na KC imetosha kukupa hiyo picha ya Yanga kufanya vizuri zaidi. Hebu fafanua zaidi ilitupate hiyo ulopata wewe.
Siyo mchanga anahitaji kupewa maelekezo vizuri na mafunzo zaidi,(mazoezi)Mzize bado mchanga tumpe muda mkuu.