Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mabingwa wa kihistoria na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Dar Young Africans (Yanga) leo wamesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni
Ngoja mashabiki wake waje kutema povuMo Mmoja ni sawa na Sportpesa 100😂😂😂
bil3.1 itakuwa hivyoMakolo kwa m bet ni bil ngapi?
Ni kesho au tarehe1.?Kesho utawasikia M-Bet nao ,manake wameingia mkataba nao ila hawajataja kiwango wanachoipa Simba ,subirini mda si mrefu mtawasikia.
sasa haya ndio mambo, wananchi wakapambane sasa huko caf champions league angalau wafike hatua ya makundiMabingwa wa kihistoria na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Dar Young Africans (Yanga) leo wamesaini mkataba mpya ...
Kameze wembe maana kujinyonga utachelewa kufa kwa wivuHahhahaha eti bilioni 4? Basi sportpesa wanashida sana timu inayotokea preliminary stage CAF unaweka pesa yote hio? Mkurugenzi mtendaji wao sportpesa ndio atakua anguko lao
oh jamaa wanapiga hela nyingi tuuna hizi buku buku zetu 🤣 🤣 🤣4bil kwa mwaka, meaning faida ya huyu mtu si chini ya 30bil kwa mwaka.
Inamaana betting ndio inalipa kiasi hiki?
Wewe ni Auditor wao kujua wanafanya hasara? Wangekuwa wanapata hasara wangeweka mzigo wote huo?Huo n upuuzi biashara yenye hasara huwezi wekeza kwenye timu inakwenda kupata anguko la tsunami