Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Mbumbumbu katika ubora wao 😂😂😂 hangaika na kombe lenu la shirikisho huko tinu zenyewe hata hazijulikani 😀 Yanga hata asipofuzu anavuna alama sawa na robo wa shirikisho😂
 
Sababu zako hazina mashiko ndio maana nimekuhoji,,unaposema Al hilal ilitengeneza hatari vipi hatari za yanga ukuziona? Unasema mc alger ni hatari kuliko yanga uhatari wake uko wapi kama tu Tp mazembe unayesema ni kibonde alimtoa kamasi nyumbani kwake mpaka mwamuzi akaingilia kati kutoa penalty ya mchongo,,nadhani hoja auna umesukumwa na mihemko tu!
 
Sababu zako hazina mashiko ndio maana nimekuhoji,,unaposema Al hilal ilitengeneza hatari vipi hatari za yanga ukuziona? Unasema mc alger ni hatari kuliko yanga uhatari wake uko wapi kama tu Tp mazembe unayesema ni kibonde alimtoa kamasi nyumbani kwake mpaka mwamuzi akaingilia kati kutoa penalty ya mchongo,,nadhani hoja auna umesukumwa na mihemko tu!
 
Sawa TUACHE MUDA uongee
 
Tusubiri. Muda ukifika tutajua ukweli. Lakini itakuwa vema sana Yanga wakishinda.
 
Jibu swali Yanga alitengeneza nafasi hakutengeneza na tuletee takwimu za mchezo huo hapa.
 
Mkuu hebu nitajie movies kali zenye story nzuri sio lazima mapigano nikaruke nazo chap
Nina series na muvi kalii hapa
Tracker
The oval
Mayor of Kingston
Your honor
The little drummer
You
Love and death
Sweetpea
Tulsa king
Outer banks
Silo
Fringe
Eric
The cleaning lady
American primeval




Muvi
  • Three Days of the Condor
  • The Bourne Ultimatum
  • The Good Shepherd
  • The 355
  • The Bourne Supremacy
  • Spy Game
  • The Sum of All Fears
  • Spies Like Us
  • The Recruit
  • Company Business
  • Möbius
  • Tenet
  • This Means War
  • Jack Ryan: Shadow Recruit
  • Argo
  • Hanna
  • Snowden
  • Jason Bourne
  • All the Old Knives
  • Safe House
  • All the Old Knives
  • Bad Company
  • Agent Cody Banks
  • The Double
  • The Courier
  • Fair Game
  • The Spy Next Door
  • Red
  • Zero Dark Thirty
  • The Bourne Identity
  • Confessions of a Dangerous Mind
  • Red Sparrow
  • Bridge of Spies
  • My Spy
  • Tinker Tailor Soldier Spy
  • Body of Lies
  • Salt
  • Charlie Wilson's War
  • American Made
  • The November Man
 
Makolo a.k.a mwakarobo, mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga haina uwezo wa kuingia robo fainali..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie dhohofu wakati mnapigwa mara nne mfululizo au la..!!

1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani

2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..

Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
 
Hii comment umeisevu sehemu sio ,una copy tu na kupest.

Ila mwisho wa kuitumia unakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…