Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
ebu tumia basi akili utopolo.
tatizo lilianzia wapi?
unaweza kutoa sababu za makomandoo wwnu kuwakataza simba wasiingie uwanjani?
 
Inaonekana hao makomandoo wa Yanga wanaogopesha sana! Maana mpaka mkaamua kuondoka baada ya kuzuiliwa kuingia uwanjani, na baadaye kutoa tamko la kususia mechi!! Na bodi ya ligi ikabariki hilo tamko lenu, siyo jambo jepesi hata kidogo.
 
hivi mlitumia akili gani kuwasha gari kuwafuata simba bunju ?mliwafuata ili iweje?
 
Simba kacheza kibingwa kwenye hilo sakata, kaiachia bodi ya ligi huo msala.
Kivyovyote simba hana kosa kabisa hapo japo ndie aliekimbia mechi.
 
Kwa hiyo mnataka kusema kama Bodi ya ligi isingetoa taarifa ya kuahirisha hiyo mechi, mngeleta timu ile tarehe 8 siyo!!
Mimi si mhusika simba na simba si team yangu. Ongelea kile kinachoonekana na si kinachodhaniwa. Simba hawakuhairisha match. Ndo maana unaona toka wameandika barua yao moja tu wakanyamaza. Sisi matamko daily yanayotufanya tuonekane hamnazo. Wao moja tu. Basi.
 
hivi mlitumia akili gani kuwasha gari kuwafuata simba bunju ?mliwafuata ili iweje?
Huku unahamisha magoli! Kiufupi hilo zoezi hata mimi sikuliunga mkono.

Hoja ya msingi ni kwa nini mechi iliyokuwa na maandalizi ya zaidi ya wiki, iahirishwe siku ya mwisho kwa sababu eti timu mgeni imezuiliwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho usiku, tena ni baada ya kushindwa kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu ujio wao!
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Daaah hapa yanga mwenzangu tumia tu hata busara. Wewe unabisha hili wenzio tunaelewa. Ni mihemko tu ili tuendesha ila ni utoto mambo mengine. Simba ingecheza siku ile na kesho yake wangefungwa mihemko na imani za kipuuzi hazina tija. Videos zipo simba wamezuiliwa kuingia getini gari zimezuia getini na askari wapo na watu wenye nja wa yanga kwa maelekezo kuwa Simba wakiingia wataharibu dawa. Ni upuuzi tu.
 
Huku unahamisha magoli! Kiufupi hilo zoezi hata mimi sikuliunga mkono.

Hoja ya msingi ni kwa nini mechi iliyokuwa na maandalizi ya zaidi ya wiki, iahirishwe siku ya mwisho kwa sababu eti timu mgeni imezuiliwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho usiku, tena ni baada ya kushindwa kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu ujio wao!
Kutoa taarifa wapi? Pre match meeting unaifahamu?mamlaka ipi ambayo inabidi ipewe taarifa?kwa kanuni gani? Suala lipo wazi kuwa team ngeni inaruhusa ya kufanya mazoezi haihitaji ruhusa wala kibali.
 
Mimi si mhusika simba na simba si team yangu. Ongelea kile kinachoonekana na si kinachodhaniwa. Simba hawakuhairisha match. Ndo maana unaona toka wameandika barua yao moja tu wakanyamaza. Sisi matamko daily yanayotufanya tuonekane hamnazo. Wao moja tu. Basi.
Haya fanya basi kama unaijibia hiyo yimu ya simba! Je, Bodi ya ligi isingetoa ile taarifa yake muda mchache tu kabla ya timu kuelekea uwanjani; simba wangepeleka timu?

Au wangeendelea na msimamo wao wa kususia mechi baada ya kutoa ile taarifa yao ya usiku?
 
That will be an assumption. Sitaki kuhisi kitu ambacho sikifahamu. Tusivuke daraja kabla ya kulifikia. Tuangalie tu facts au kilichopo mbele yetu. Simba hawakususia match. Match ilihairishwa. Sisi tukapeleka team Taifa na baadaye tukaenda Bunju. Unajiuliza kule Bunju wahuni wangeamua kurusha mawe au kuchoma moto basi ingekuaje? Haikutumika akili. Tunafanya mambo kimihemko sana.
 
Daaah hapa yanga mwenzangu tumia tu hata busara. Wewe unabisha hili wenzio tunaelewa. Ni mihemko tu ili tuendesha ila ni utoto mambo mengine. Simba ingecheza siku ile na kesho yake wangefungwa mihemko na imani za kipuuzi hazina tija. Videos zipo simba wamezuiliwa kuingia getini gari zimezuia getini na askari wapo na watu wenye nja wa yanga kwa maelekezo kuwa Simba wakiingia wataharibu dawa. Ni upuuzi tu.
Na vipi kwenye mechi iliyotangulia na ambayo Yanga ilikuwa ni timu mgeni! Je, Yanga alienda kufanya mazoezi kwenye huo uwanja siku moja kabla ya mechi? Jibu ni kwamba, hakwenda ili kuepusha tu sintofahamu kama hii iliyotumiwa na simba kama kisingizio cha kukimbia mechi.

Na ukija kwenye hoja ya ushirikina! Hilo liko wazi!! Yanga na simba pamoja na timu nyingine za mpira wa miguu nchini, zinajihusisha na vitendo vya kishirikina! Kwa hiyo inawezekana Yanga walizuia simba kuingia kufanya mazoezi kwa kuhisi wataenda kuweka vitu vyao vya kishirikina.
 
Kama ni haki yako kumshtaki mtu akikupiga ukaamua kumwacha kwa kutumia busara. Siku ukimpiga yeye akaenda kukushtaki haimaanishi anakosea. Taratibu hazilazimishi mtu kwenda kufanya mazoezi. Ila zinalazimisha mtu kuwa na haki hiyo.

So Yanga kuamua kutokwenda si kuwa sasa ni kanuni na Simba wasiende. Mfano utaratibu tumewekeana kuwa ni haki kila mtu kufanya jambo flani. Wewe ukiamua kutofanya hainizuii nami kutofanya. So Yanga kama hatukutaka kwenda ni maamuzi yetu. Kanuni hailazimishi. Ila wao ambao wanataka ni lazima wapewe haki yao.
 
Wale vichaa mlioeaweka getini mliwaweka kwa kazi gani?
Wewe unakuja na nyingine kabisa! Wenzako wanasema walikuwa ni makomandoo, wewe unasema ni vichaa!
By the way, kutokana na taarifa za wazoefu; ni kwamba hata timu ya simba iliwaweka hao vichaa kuulinda uwanja kwenye mechi ya mzunguko! Na Yanga hawakwenda uwanjani kulazimisha kuingia. Walifika siku ya mechi, na wakaondoka na ushindi
 
Akili za kipuuzi. Tanga, Pemba, Lindi, Mtwara, Rukwa, Bagamoyo kunasifika kwa ushirikina wana team gani zinazofanya vizuri kwenye ligi? Hersi kila mara anaenda Tanga kutafuta waganga tumefika wapi CAF?
 
Kama ni haki yako kumshtaki mtu akikupiga ukaamua kumwacha kwa kutumia busara. Siku ukimpiga yeye akaenda kukushtaki haimaanishi anakosea. Taratibu hazilazimishi mtu kwenda kufanya mazoezi. Ila zinalazimisha mtu kuwa na haki hiyo.

So Yanga kuamua kutokwenda si kuwa sasa ni kanuni na Simba wasiende. Mfano utaratibu tumewekeana kuwa ni haki kila mtu kufanya jambo flani. Wewe ukiamua kutofanya hainizuii nami kutofanya. So Yanga kama hatukutaka kwenda ni maamuzi yetu. Kanuni hailazimishi. Ila wao ambao wanataka ni lazima wapewe haki yao.
Ndiyo msitoe taarifa kwa mamla yoyote ile au kwa timu mwenyeji! Kwa sababu tu kanuni inawaruhusu! Ok.
 
Wewe unakuja na nyingine kabisa! Wenzako wanasema walikuwa ni makomandoo, wewe unasema ni vichaa!
By the way, kutokana na taarifa za wazoefu; ni kwamba hata timu ya simba iliwaweka hao vichaa kuulinda uwanja kwenye mechi ya mzunguko! Na Yanga hawakwenda uwanjani kulazimisha kuingia. Walifika siku ya mechi, na wakaondoka na ushindi
Yanga kutokwenda haimaanishi na Simba wasiende.hii si excuse tate. Tukubali tuliacha kuendesha team kisomi tukafanya kimihemko.
 
Back
Top Bottom