Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Ungemaliza kwa kuandika kua utopolo mana viongozi masela na wahuni
 
Nyie huwa mnazaliwa wapi? Basi wasingeajiri mwanasheria wala wasingeenda kushtak CAS. Wangesubiri team iingie uwanjani.
Masuala ya kisheria ni alternative tu baada ya kuona haki haijatendeka lakini sio lengo mahususi la uwepo wa yanga. Tupo kwa ajiri ya kucheza mpira, nizidi uwezo uwanjani nitakupa heshima yako lakini sio kwenye meza ya sheria. Nasisitiza tena, leta timu yako uwanjani
 
Acha kujifanya mjuaji. Kwa hiyo kwenye magari yote yaliyokuja uwanjani yalibeba wachezaji tu!
Kwahiyo ulitaka washuke wapigane na hao mabaunsa wenu ili tukishinda tuingie uwanjani?
Hivi kungekuwa na mpira kweli tena hapo, ina maana busara waliyotumia simba kukwepa mambo kama hayo wewe unaona ni upuuzi tu na badala yake unalaumu kwanini hawakushuka kuvaana na hao mabaunsa wa Yanga
 
Back
Top Bottom