Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Mbona taarifa zote (ya simba na bodi ya ligi) zilionesha ya kwamba simba ilienda uwanjani kufanya mazoezi pasipo kutoa taarifa kwa wahusika wa uwanja!

Na hata walipofika ndipo wahusika walianza kupewa taarifa za ujio wao!
Sasa mbona walikaa mpk saa tatu bila kuruhusiwa..kama walipewa taarifa baadae...it means walisubiri mpk saa 3 masaa 3...do u understand my dear ..?
 
Mimi si mhusika simba na simba si team yangu. Ongelea kile kinachoonekana na si kinachodhaniwa. Simba hawakuhairisha match. Ndo maana unaona toka wameandika barua yao moja tu wakanyamaza. Sisi matamko daily yanayotufanya tuonekane hamnazo. Wao moja tu. Basi.
Simba hakuahirisha mechi ila waligoma kucheza mechi kwa taarifa rasmi kabisa.
 
Mbuzi lini walikuwa chui maana Kila mada ni kubisha tu kubisha tu.Tukubali ujinga wa mabaunsa hata wangekuwa wawili uliharibu mipango.Basi lingeunguzwa moto nani angeulizwa.TYACHE UHUNI WA KITOTO.
Hili swala limewekwa katika pande za usimba na uyanga ila ukikaa katika upande wa katikati kuna dosari kubwa katika kuahirishwa mechi.

Kwanini mpaka leo hao bodi ya ligi hawajawachukulia hatua hao mabaunsa wanaosemekana ni wa Yanga? Maana walisema video za ushahidi zipo sasa huo uchunguzi haujakamilika wiki inawnda ya pili sasa kivipi?
Wangechukulia hatua hao mabaunsa, umma tungepata kujua ni kweli hao walikuwa ni mabaunsa wa Yanga au ni wahuni tu wa mtaani.
 
Mkuu kuna watu husema hizi timu hutumika kuhamisha na kupumbazisha akili za watanzania.hasa kwenye mambo nyeti ya kisiasaLabda ni ishu ya umeme wa ETHIOPIA.ila kiukweli kama taifa tuna mtihani.
 
Acheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.
Kwahiyo kama hao mabaunsa walikuwa wachache ulitaka wachezaji wa Simba washuke wapigane nao au wapige simu waje watu wa simba kupigana nao ili tuwazidi tuingie uwanjani?
Hivi hizi ni logic za namna gani?
 
Acha kujifanya mjuaji. Kwa hiyo kwenye magari yote yaliyokuja uwanjani yalibeba wachezaji tu!
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Usalama wa wachezaji ni muhimu,unaposumbua wachezaji na makomandoo wenu mliambiwa kuna mieleka?
 
Nyie huwa mnazaliwa wapi? Basi wasingeajiri mwanasheria wala wasingeenda kushtak CAS. Wangesubiri team iingie uwanjani
Ndiyo maana CAPO DELGADO husema kuzishangilia Simba na Yanga kwa mahaba ya kupitiliza kumetufanya watanzania tumekuwa kama mazuzu.

Timu imepeleka shauri lake CAS lakini mtu anaponda wanasheria. Sasa huko CAS Yanga haitapeleka wanasheria?
 
Sisi mashabiki wa Yanga wengi hatuna akili na elimu. Tunapelekwa pelekwa tu.
 
Sisi mashabiki wa Yanga wengi hatuna akili na elimu. Tunapelekwa pelekwa tu.
Elimu na Akili vipo, Tatizo ni matumizi yake. Viongozi wa Yanga wamefanikiwa kuwateka kihisia wanachama wa Yanga kiasi kwamba Kila wafanyacho huonekana ni spesho.
 
Back
Top Bottom