Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #41
Msitoe akina nani? Mbona mimi sikuzungumzii wewe kama nyie?nasema Yanga au Simba? Hakuna kanuni inasema wanapaswa kutoa taarifa anywhere. Elewa hapo ndugu yangu. Umesoma kanuni?Ndiyo msitoe taarifa kwa mamla yoyote ile au kwa timu mwenyeji! Kwa sababu tu kanuni inawaruhusu! Ok.
Ndio maana halisi ya UTOPOLOTuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
View attachment 3274925
Wewe unakuja na nyingine kabisa! Wenzako wanasema walikuwa ni makomandoo, wewe unasema ni vichaa!
By the way, kutokana na taarifa za wazoefu; ni kwamba hata timu ya simba iliwaweka hao vichaa kuulinda uwanja kwenye mechi ya mzunguko! Na Yanga hawakwenda uwanjani kulazimisha kuingia. Walifika siku ya mechi, na wakaondoka na ushindi
Sasa uzee una uhusiano gani na kuwaambia ukweli!Unazeeka mzee baba
Madai ya Simba si kuogopa kuingia uwanjani boss, ni kuzuiwa na wanaosadikika kuwa ni watu wa Yanga na Simba walipeleka malalamiko bodi ya ligi.Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!
Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Hakuna sehemu inayosema team inayotaka kufanya mazoezi itoe taarifa kwa team mwenyeji.Ndiyo msitoe taarifa kwa mamla yoyote ile au kwa timu mwenyeji! Kwa sababu tu kanuni inawaruhusu! Ok.
Mbona taarifa zote (ya simba na bodi ya ligi) zilionesha ya kwamba simba ilienda uwanjani kufanya mazoezi pasipo kutoa taarifa kwa wahusika wa uwanja!Msitoe akina nani? Mbona mimi sikuzungumzii wewe kama nyie?nasema Yanga au Simba? Hakuna kanuni inasema wanapaswa kutoa taarifa anywhere. Elewa hapo ndugu yangu. Umesoma kanuni?
Walienda mabaunsa wao wenyewe. Una ushahidi wa mabaunsa kuwa wa yanga? Uwanja wa mkapa unalindwa kwa taratibu zake. Tangu lini mabaunsa mnaowaita wa yanga waka walinziSasa boss, kwahiyo mlitumika na mkaweka na mabaunsa kabisa kufanikisha shughuli ya kususa?
Yanga wenye akili wawili tuYaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!
Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Matamko daily yako mangapi mkuu? Au tuseme ni kweli yapo, muathirika mkubwa wa lile tukio la kuahirishwa mechi ni nani?Mimi si mhusika simba na simba si team yangu. Ongelea kile kinachoonekana na si kinachodhaniwa. Simba hawakuhairisha match. Ndo maana unaona toka wameandika barua yao moja tu wakanyamaza. Sisi matamko daily yanayotufanya tuonekane hamnazo. Wao moja tu. Basi.
Huyu huyu Oruma mwenye elimu ya kuokoteza ya hapa na pale anaweza kukebehi uelewa wa viongozi wa Yanga! tuache masiala🤣🤣Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
View attachment 3274925
Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Nafikiri ulipaswa kuwaz kwanza nani anamiliki uwanja akisha kodi,na kwa sababu hiyo Viongozi wa Yanga waliweka ulinzi magetini kuwazuia Simba kuingia?Ulitaka watu waliokua kwenye mabasi washuke zianze vurugu pale nje?Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!
Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Waliosusia ni Yanga wasiopenda game ichezwe Kwa kufuata Kanuni. Simba tuko tayari hata kesho kipigwe. Hatutaki points za mezani lakini mkiendelea na ujinga wenu huu na tarehe ikatangazwa chap tunachukua points3Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Tate mbona kuna sehemu huelewi. Hakuna kanuni inasema watoe taarifa. Kama ipo iweke hapa. Haya mambo yanaenda kisomi. Kwa kanuni.Mbona taarifa zote (ya simba na bodi ya ligi) zilionesha ya kwamba simba ilienda uwanjani kufanya mazoezi pasipo kutoa taarifa kwa wahusika wa uwanja!
Na hata walipofika ndipo wahusika walianza kupewa taarifa za ujio wao!
Kwa hiyo ulitaka viongozi wa simba na wachezaji washuke kutokaa kwenye gari waanze kupigana/ kupambana na hao mabaunsa wa Yanga ambao wanakiri wao. wenyewe ktk crips zao kuwa walikuwa wanatekeleza maelekezo ya viongozi waoAcheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.
Soma kanuni ya 31Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
We nae ndio wale wale, sasa alijifanya vipi wakati alienda uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyotaka akazuiwa. Akawaambia Bodi kuwa anahitaji swala litolewe uamuzi bila hivyo hachezi. Bodi wakakaa kikao wakaona Simba wanahoja wanahitaji kuchunguza ili watoe majibu, wakaamua kua hirisha mechi.Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
Yanga hawana wanasheria, wangefunga kitengo cha sheria kuna mbumbumbu na wahuniKwa hiyo ulitaka viongozi wa simba na wachezaji washuke kutokaa kwenye gari waanze kupigana/ kupambana na hao mabaunsa wa Yanga ambao wanakiri wao. wenyewe ktk crips zao kuwa walikuwa wanatekeleza maelekezo ya viongozi wao
Mbuzi lini walikuwa chui maana Kila mada ni kubisha tu kubisha tu.Tukubali ujinga wa mabaunsa hata wangekuwa wawili uliharibu mipango.Basi lingeunguzwa moto nani angeulizwa.TYACHE UHUNI WA KITOTO.Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!
Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.