Masuala ya kisheria ni alternative tu baada ya kuona haki haijatendeka lakini sio lengo mahususi la uwepo wa yanga. Tupo kwa ajiri ya kucheza mpira, nizidi uwezo uwanjani nitakupa heshima yako lakini sio kwenye meza ya sheria. Nasisitiza tena, leta timu yako uwanjani
Kwahiyo ulitaka washuke wapigane na hao mabaunsa wenu ili tukishinda tuingie uwanjani?
Hivi kungekuwa na mpira kweli tena hapo, ina maana busara waliyotumia simba kukwepa mambo kama hayo wewe unaona ni upuuzi tu na badala yake unalaumu kwanini hawakushuka kuvaana na hao mabaunsa wa Yanga