Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

Ila wanapaswa ongeza zaidi angalau zifike hata 6mil usd kwa winner wa CL
 
hapana,
unapewa pale unapoishia tu, sio cummulative kama UCL
Ngoja nikae kimya, lakini UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA pamoja na MICHUANO YA CAF zote zipo sawa kwa namna ya gharama za maandalizi pamoja na utoaji wa zawadi. Kinachokuwa tofauti ni hadhi ya mashindano πŸ™πŸ½
 
Toka mwanzo umeambiwa leta evidence kuwa kuna hela za maandalizi wanapewa lakini huleti umekalia maneno tu
 
Toka mwanzo umeambiwa leta evidence kuwa kuna hela za maandalizi wanapewa lakini huleti umekalia maneno tu
Huu ni ukweli ambao upo wazi! Michuano yoyote lazima pesa za maandalizi ziwepo na hii huwa inafanyika kisheria.
 
Kombe la Shirikisho

Bingwa: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)
Kwa hiyo hela anayopewa bingwa wa shirikisho (4.7 B) inazidiwa na hela ya maandalizi tu inayopewa timu inayoshiriki Super League (5.8 B), au ni macho yangu tu?
 
Kumbe robo mbili za ligi ya mabingwa sawa na mshindi wa kombe la luzaz?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

NB: SIMBA SC ITAPOKEA 5B KWA AJILI YA MAANDALIZI YA AFRICA SUPER LEAGUE

umegundua nini hapo?
 
Kwa hiyo hela anayopewa bingwa wa shirikisho (4.7 B) inazidiwa na hela ya maandalizi tu inayopewa timu inayoshiriki Super League (5.8 B), au ni macho yangu tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushaambiwa ni losers cup
 
2b Ni ndogo Sana CAF waongeze pesa team inasafiri Kanda zote hizo
Maandalizi
Accommodation zote
Pesa inakuwa imeisha
 
Ngoja nikae kimya, lakini UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA pamoja na MICHUANO YA CAF zote zipo sawa kwa namna ya gharama za maandalizi pamoja na utoaji wa zawadi. Kinachokuwa tofauti ni hadhi ya mashindano [emoji1431]
haya ni matamanio yako ila haiko hivyo.....
uefa wao wana utaratibu wao, tena wao zawadi zao ni cummulative (bingwa wa uefa anapata milion 25 lakini ukijumlisha hela zote kuanzia makundi anaweza pata max mil 86+)

caf wao wanakupa kile kiwango cha ulipoishia tu
 
Ongezeko latokana na jinsi wanavyopata mapato
shida ya caf uswahili mwingi sana,
pia hawaja-brand mashindano yao!...
ndio mana nashangaa sana motsepe anapokimbilia super league, lazima itafeli kwa sababu ni closed shop afu imekaa kiubaguzi
 
Simba anaona wivu 😁😁
 
Ndiyo maana ninakwambia kinachokuwa tofauti ni hadhi ya mashindano πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…