Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Jedwali linajieleza, sihitaji kupotezea watu muda kwa maneno mengi:

1696314630829.png
 
Yaani mambo ya karne ya 20 unaongelea leo karne ya 21
Eeeh, binadamu tumeumbiwa kusahau. Hivyo kukumbushana ni muhimu. Biblical stories na Hadith za Maswahaba unajua ni za karne gani?

Mbona hujawahi kuwahoji Viongozi wa dini yako kwa kukusimulia mambo ya karne nyingi zilizopita?
 
Kwenye goli 19 kwa mechi 6 ni matokeo ya kawaida katika soka.

Sasa mechi mbili goli 10 ni wastani wa hovyo kuwahi kutokea katika soka yaani ni wastani wa kufungwa 5 kila mechi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
ina mana msimu huo simba ilicheza michezo miwili tu kwenye makundi?
 
Kwenye goli 19 kwa mechi 6 ni matokeo ya kawaida katika soka.

Sasa mechi mbili goli 10 ni wastani wa hovyo kuwahi kutokea katika soka yaani ni wastani wa kufungwa 5 kila mechi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Cha ajabu ni kwamba yeye ndo anaongoza kwenye group lake kula Mikwaju yakutosha..
Akifuatiwa na wa pili yake ana 7 lakini ukiangalia anayefuata kula mikwaju na Wa pili yake kuna Utkfaiti wa Goli 12..

Kwahyo kwenye group alikuwa kilaza kuliko wote...
Angalia hata goal difference ana -14 ni Hasara kwakwel
 
Simba wanarekodi yao ya pekee katika michuano ya klabu bingwa baada ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili zinazo fuatana.
Anapigwa 5 na As vita anapigwa 5 na Al Ahly.
Iyo ni moja ya rekodi ambazo bado hazija vunjwa pale Caf.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ahaaaaaa,kkazi kwelikweli
 
Makundi bado, ila kinachojulikana hadi sasa ni kwamba Simba hawezi kuwa katika kundi moja na CR Belouizdad, Pyramids au Petro de Luanda, na Yanga hawezi kuwa katika kundi moja na TP Mazembe, Al Hilal au ASEC Mimosas
Haraka ya nini mkuu,Ijumaa mbona siyo mbali!!
 
Back
Top Bottom