Maneno yasiwe mengi, nimeandika kikaratasi kwa ajili ya maombezi maalum na ntakuwa nakiwasilisha kapuni pamoja na sadaka yangu kila Morning Prayer kuelekea draw ya CAF siku ya Ijumaa.
E mwenyezi Mungu sina maombi mengi mimi mja wako ila naliomba kundi hili litokee kwa uwezo wako mkuu.
Kundi ___
1. Mamelodi Sundown
2. Simba SC
3. Young Africans
4. Jwaneng Galaxy
Jaalia hili ee Mungu wa miungu. Tunataka kumjua real Giant wa Tanzania Football mwaka huuhuu. Nakuomba hili tu kwa mwaka huu Mungu wangu uliye mkuu wa vyote. Amen