Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

Kuna mchezaji hata mmoja wa kikosi cha yanga miaka hiyo ambaye bado yupo kwenye kikosi cha mwaka huu??

Vipi medali walizovishwa yanga kwa kucheza fainali za shirikisho nazo zinaingia kwenye historia ipi?
 
Weka hizo hesabu tuzione 😁. Mimi nimeweka kilichotokea, kama nimesema uongo mahali, unaruhusiwa kuonyesha usahihi wake
Wewe hapa unajaribu tu kujifariji. Ila ukija kwenye uhalisia, unatambua fika Yanga ya wakati huu huwezi kuilinganisha na Yanga yoyote ile ya miaka iliyopita.
 
Kuna mchezaji hata mmoja wa kikosi cha yanga miaka hiyo ambaye bado yupo kwenye kikosi cha mwaka huu??

Vipi medali walizovishwa yanga kwa kucheka fainali za shirikisho nazo zinaingia kwenye historia ipi?
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Maneno yasiwe mengi, nimeandika kikaratasi kwa ajili ya maombezi maalum na ntakuwa nakiwasilisha kapuni pamoja na sadaka yangu kila Morning Prayer kuelekea draw ya CAF siku ya Ijumaa.

E mwenyezi Mungu sina maombi mengi mimi mja wako ila naliomba kundi hili litokee kwa uwezo wako mkuu.

Kundi ___
1. Mamelodi Sundown
2. Simba SC
3. Young Africans
4. Jwaneng Galaxy

Jaalia hili ee Mungu wa miungu. Tunataka kumjua real Giant wa Tanzania Football mwaka huuhuu. Nakuomba hili tu kwa mwaka huu Mungu wangu uliye mkuu wa vyote. Amen
Ikitokea hivi basi lile jina lao la Mikia FC litawarudia tena. Maana lazima watashika mkia. Watake wasitake.
 
Kwani mashindano ya CAF ni Simba tu ilikuwa inashiriki? Yanga ilikuwa haishiriki?
Waswahili wanasemaga yaliyopita si ndwele. Ninachopenda kuona ni Simba na Young Africans kuwa kundi moja ili tuone nani ataibuka kidedea kwenye kundi husika.

Kikubwa ile dhana ya kusema flani anapangiwaga team dhaifu na flani anapangiwaga vigogo, inabidi ifike mwisho pale wote tutakuwa tunapambana na miamba ileile katika kundi husika, then mwishoni tufanye hesabu sasa.
 
Upimwe akili mwaka jana timu imefika fainali yale mashindano aliandaa mama yako mzazi
Mapovu ya nini, huu ni mpira tu, hakuna haja ya kuumia roho. Sasa kama Yanga alifika fainali ya shirikisho mwaka jana, basi hupaswi kuumizwa na matokeo ya Klabu Bingwa mara ya mwisho kuingia makundi. Mimi nimeweka tu kumbukumbu. Kwani nikiweka kumbukumbu sahihi kuwa Yanga waliwahi kufungwa goli 5-4 na Villa Squad ya Kinondoni katika mchezo wa Ligi Kuu msimu wa 2008/2009, ina maana nimepuuza ubingwa wa Yanga wa msimu ulioisha wa 2022/2023 ?
 
Kwani wew yanga sc ajawahi kukupiga 6
 
Mkuu hukusoma hesabu shuleni? Magoli 19 mechi 6 ni mengi kuliko magoli 10 mechi 2?
Mimi sijaanzisha uzi wa magoli aliyofungwa Simba, bali uzi wangu unajitegemea, haulinganishiwi na chochote. Uzi unasema Yanga alifungwa magoli 19 katika mechi zote 6 za makundi, na wewe ukitaka anzisha uzi mwingine useme Simba alifungwa magoli 10 katika mechi mbili (tena usitaje matokeo ya mechi nyingine nne, yataharibu uzi maana Simba alivuka kundi hilo hilo alilofungwa magoli 10 akatinga robo fainali)
 
Angalia post niliyo-quote. Nimejibu hoja yako ya kwamba "hayakufika magoli 19".
 
Maneno yasiwe mengi, nimeandika kikaratasi kwa ajili ya maombezi maalum na ntakuwa nakiwasilisha kapuni pamoja na sadaka yangu kila Morning Prayer kuelekea draw ya CAF siku ya Ijumaa.

E mwenyezi Mungu sina maombi mengi mimi mja wako ila naliomba kundi hili litokee kwa uwezo wako mkuu.

Kundi ___
1. Mamelodi Sundown
2. Simba SC
3. Young Africans
4. Jwaneng Galaxy

Jaalia hili ee Mungu wa miungu. Tunataka kumjua real Giant wa Tanzania Football mwaka huuhuu. Nakuomba hili tu kwa mwaka huu Mungu wangu uliye mkuu wa vyote. Amen
Na iwe hivyo tujue nani ni nani
 
Kwani wew yanga sc ajawahi kukupiga 6
Sijawahi kusikia, nasikia tu Simba ndio aliifunga Yanga goli 6-0 na wafungaji wanatajwa kwa majina kuwa ni Abdallah Kibadeni (dk. 10, 42 na 89), Jumanne Hassan ‘Masimenti’ (dk. 60 na 73), Selemani Sanga alijifunga (dk. 20). Niliyoshuhudia mimi ni Simba 5-0 Yanga wafungaji ni Emmanuel Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (dk 56), Juma Kaseja ( dk 67) na Patrick Mafisango ( dk 72)
 
Ingia google utakutana nayo
 
Angalia post niliyo-quote. Nimejibu hoja yako ya kwamba "hayakufika magoli 19".
Hayakufika vipi wakati nyumbani na ugenini Raja alifunga 6 na 3, Manning Rangers alifunga 1 na 4, ASEC alifunga 2 na 3. Hebu jumlisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom