Sio suala la haraka, ni suala la kanuni. Mwanzo niliandika kuwa ni 'uelekeo' kwa kuwa kuna mechi tatu zilikuwa hazijachezwa, lakini kimetokea kama nilivyokuwa nimedhani so sasa hali halisi ndio hiyoHaraka ya nini mkuu,Ijumaa mbona siyo mbali!!
Tukikutana makundi Kuna ubaya?Sio suala la haraka, ni suala la kanuni. Mwanzo niliandika kuwa ni 'uelekeo' kwa kuwa kuna mechi tatu zilikuwa hazijachezwa, lakini kimetokea kama nilivyokuwa nimedhani so sasa hali halisi ndio hiyo
Mnatamani sana kuona Yanga nayo inaonekana ni timu mbovu kama ya kwenu! Lakini hesabu na uhalisia kwa sasa unakataa kabisa!!
Jamaa akili zake zipo chini ya makalio yakeYaani mambo ya karne ya 20 unaongelea leo karne ya 21
Kabisa watakufa kibudu kila mechiMnatamani sana kuona Yanga nayo inaonekana ni timu mbovu kama ya kwenu! Lakini hesabu na uhalisia kwa sasa unakataa kabisa!!
Na ninakuhakikishia hamtavuka hatua ya makundi, kwa aina ya kikosi mlichonacho msimu huu.
Weka hizo hesabu tuzione π. Mimi nimeweka kilichotokea, kama nimesema uongo mahali, unaruhusiwa kuonyesha usahihi wakeMnatamani sana kuona Yanga nayo inaonekana ni timu mbovu kama ya kwenu! Lakini hesabu na uhalisia kwa sasa unakataa kabisa!! Na ninakuhakikishia hamtavuka hatua ya makundi, kwa aina ya kikosi mlichonacho msimu huu.
Siku zote huwezi kujisifu una mbio kuliko mpinzani wako kama hakuna shindano mlilowahi kukimbia pamoja ukamshinda. Kipimo sahihi ni kuwa kundi moja pamoja na wababe wengine wa msimu huu ili tujipime ubavu vizuri.Bado tu hujamjua? Ina maana hauiamini CAF? [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwamba Yanga ya karne ya 20 ndiyo hii hii ya sasa hakuna mabadiliko,kwa akili za baadhi ya watu.Kwamba mara ya mwisho Yanga kucheza hatua ya makundi ilikuwa ni karne ya ishirini?
Amina hii itokee kabisa watu waje kulia na kusaga menoManeno yasiwe mengi, nimeandika kikaratasi kwa ajili ya maombezi maalum na ntakuwa nakiwasilisha kapuni pamoja na sadaka yangu kila Morning Prayer kuelekea draw ya CAF siku ya Ijumaa.
E mwenyezi Mungu sina maombi mengi mimi mja wako ila naliomba kundi hili litokee kwa uwezo wako mkuu.
Kundi ___
1. Mamelodi Sundown
2. Simba SC
3. Young Africans
4. Jwaneng Galaxy
Jaalia hili ee Mungu wa miungu. Tunataka kumjua real Giant wa Tanzania Football mwaka huuhuu. Nakuomba hili tu kwa mwaka huu Mungu wangu uliye mkuu wa vyote. Amen
Naunga mkono hojaKwamba Yanga ya karne ya 20 ndiyo hii hii ya sasa hakuna mabadiko,kwa akili za baadhi ya watu.
Kwani mashindano ya CAF ni Simba tu ilikuwa inashiriki? Yanga ilikuwa haishiriki?Siku zote huwezi kujisifu una mbio kuliko mpinzani wako kama hakuna shindano mlilowahi kukimbia pamoja ukamshinda. Kipimo sahihi ni kuwa kundi moja pamoja na wababe wengine wa msimu huu ili tujipime ubavu vizuri.