Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

Jitahidi uvuke zile 0.5 hata upate point moja tutakuelewq mleta mada
 
Watu wanaona ni ajabu na miujiza utopolo kufikia hapo walipofikia,inatokeaga mara chache sana ndani ya karne,ingekuwa Simba sc isingekuwa stori kwasababu ni kawaida yao....
Hata leo hii Ruvu Shooting wakibeba ubingwa wa ligi watakuwa top in town ,so the same to utopolo
 
Jitahidi uvuke zile 0.5 hata upate point moja tutakuelewq mleta mada
Arsenal alizipata lini hizo? Elewa mada, sio mafanikio ya bahati nasibu kama upepo tu, hapa naongelea umaarufu na ukubwa wa wananchi ndani na nje ya mipaka yetu, nani anajadiliwa zaidi.
 
Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa sokaamerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyoya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii.

Kama unabisha pitia majukwaa YOTE JF, nenda Twitter, instagram, facebook nk, habari ya mjini unapoongelea michuano ya Afrika ni Yanga SC. Utakuta hata kama mada haihusiani na mpira, lazima jina la Yanga SC liibuke katikati ya mjadala. Licha ya kuwepo uwakilishi wa timu zaidi ya nne, bado TIMU PEKEEinayovuta hisia na kuamsha ari ya mashabiki wote bila kujali timu zao ni Yanga SC. Yanga ndio timu pekee inayowaleta pamoja mashabiki katika ukanda wetu.

Kinachovutia zaidi ni kuona mashabiki na wapenzi wa timu hasimu na Yanga wanavyotumia muda wao mwingi kujaribukuchambua ubora wa Yanga kulinganisha na wapinzani wao. Hii ni dalili njema mno kwa Yanga kwani inaonyesha ni jinsi gani inafuatiliwa kwa karibu mno na wadau wa soka Mashariki, kati na kusini mwa Afrika.

Yanga NDIO TIMU PEKEEyenye mvuto kwa sasa kwenye ukanda wetu. Yanga ndio timu pekee inayowavutia mashabiki wa soka kufuatilia mechi zake.

Upende usipende hii ni FACT!!
Ngoja mikia fc ije na mapovu ya filipo sijui fwili
 
Watu wanaona ni ajabu na miujiza utopolo kufikia hapo walipofikia,inatokeaga mara chache sana ndani ya karne,ingekuwa Simba sc isingekuwa stori kwasababu ni kawaida yao....
Hata leo hii Ruvu Shooting wakibeba ubingwa wa ligi watakuwa top in town ,so the same to utopolo
Kwa illogic yako kati ya Yanga na Kipanga nani alistahili mjadala zaidi? Once mbumbumbu FC always mbumbumbu FC.
 
Kwa illogic yako kati ya Yanga na Kipanga nani alistahili mjadala zaidi? Once mbumbumbu FC always mbumbumbu FC.
Hivi kipanga wapo nafasi ya ngapi ktk NBC PL?

HUNA AKILI.
 
Hiki ndicho ninachomaanisha kwa uchache:

Screenshot_2022-09-19-21-37-33-082_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-37-17-827_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-37-09-951_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-37-01-546_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-36-45-132_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-36-02-006_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-09-19-21-35-36-622_com.android.chrome.jpg
 
Wewe ndio taahira, mimi naongelea NBC premier League au CECAFA na kusini mwa Afrika?
Hivi kipanga wapo nafasi ya ngapi ktk NBC PL?

HUNA AKILI.
Tumia kichwa chako vizuri mkuu, read between lines.
 
Wapi umeona namungo ikijadiliwa mkuu? Whether negatively or positively, Yanga ndio timu pekee inayoongelewa zaidi kwa sasa. Simba ilibebwa na "lete mzungu, hatujamaliza", leo hii habari ni Yanga tu. Sakata la Manzoki lilikuwa kimya mpaka pale alipohusishwa na Yanga.

Katika historia ya taifa letu hakuna mchezaji amewahi KUJADILIWA NA BUNGE LA NCHI, ambao ni watunga sheria za nchi, kwa misingi ya kutaka afukuzwe nchini kwa sababu tu ya UBORA WAKE isipokuwa FISTON KALALA MAYELENATION. Kanusha na hilo, CREAM ya taifa inakula kodi za Watanzania kumjadili PREDATOR atafutiwe sababu afukuzwe nchini!!
Nenda page za CAF kijana uone nani mkubwa
 
Arsenal alizipata lini hizo? Elewa mada, sio mafanikio ya bahati nasibu kama upepo tu, hapa naongelea umaarufu na ukubwa wa wananchi ndani na nje ya mipaka yetu, nani anajadiliwa zaidi.
Arsenal ya wapi hapa africa? Kama ulaya unapataje balls ya kuifananisha uto na mafanikio ya arsnal kimataifa wakati haijafika nusu ya mafanikio ya simba kimataifa ?
Uto yenu kuingia kwenye makundi last time ni 1998 karibia miaka 22 nadhan ulikuw bado mdogo unakuja na thread uchwara ujifananishe na arsenal yule luc eymael hakukosea kuwaita ni ni manyan mambwa mnabweka bweka hovyo
 
Ni aibu kuona mtu mweusi anawabagua weusi wenzake kwa maneno yanayotumiwa na weupe kuwabagua weusi. Kwani wawe ni Mwarabu? Basqi naachana na wewe
 
Yaani kujadiliwa humu jf ndo ujiapambanishe ni klabu kubwa mbona namungo last year tuliwajadili humu baada ya kuwapiga agosto 6-2 kule kwao mbona hawakuja na nyuzi uchwara Nyie kweli makima na hamjui kusoma kama asemavyo morison
Kujadiliwa na kutrend ni vitu viwili tofauti
 
Ni aibu kuona mtu mweusi anawabagua weusi wenzake kwa maneno yanayotumiwa na weupe kuwabagua weusi. Kwani wawe ni Mwarabu? Basqi naachana na wewe
Haya mambo ya ubaguzi mbona kwenu yapo sana
Hapa mlikuw mnafanya nini ?
 
Attachments

  • E7B3D1E3-A42B-41B4-AE4C-F85E1AF24218.jpeg
    E7B3D1E3-A42B-41B4-AE4C-F85E1AF24218.jpeg
    30.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom