Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

Unataka kusema CAFCCL wana account humu jf inawafanya mtrend humu? Au wewe concern yako ilikuw kutrend wapi?
Makoloni kwa mambumbu FC, si unaona mlivyokomaa humu?
 
Leo nimeamini CHEMA SIMBA CHAJIUZA, KIBAYA YANGA CHAJITEMBEZA. Utopolo katika ubora wako
 
Nadhani Kocha wa Yanga (Nabi) atakuwa amejijengea heshima kubwa sana huko kwao Tunisia
 
Back
Top Bottom