Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

Jitahidi uvuke zile 0.5 hata upate point moja tutakuelewq mleta mada
 
Watu wanaona ni ajabu na miujiza utopolo kufikia hapo walipofikia,inatokeaga mara chache sana ndani ya karne,ingekuwa Simba sc isingekuwa stori kwasababu ni kawaida yao....
Hata leo hii Ruvu Shooting wakibeba ubingwa wa ligi watakuwa top in town ,so the same to utopolo
 
Jitahidi uvuke zile 0.5 hata upate point moja tutakuelewq mleta mada
Arsenal alizipata lini hizo? Elewa mada, sio mafanikio ya bahati nasibu kama upepo tu, hapa naongelea umaarufu na ukubwa wa wananchi ndani na nje ya mipaka yetu, nani anajadiliwa zaidi.
 
Ngoja mikia fc ije na mapovu ya filipo sijui fwili
 
Kwa illogic yako kati ya Yanga na Kipanga nani alistahili mjadala zaidi? Once mbumbumbu FC always mbumbumbu FC.
 
Kwa illogic yako kati ya Yanga na Kipanga nani alistahili mjadala zaidi? Once mbumbumbu FC always mbumbumbu FC.
Hivi kipanga wapo nafasi ya ngapi ktk NBC PL?

HUNA AKILI.
 
Hiki ndicho ninachomaanisha kwa uchache:

Wewe ndio taahira, mimi naongelea NBC premier League au CECAFA na kusini mwa Afrika?
Hivi kipanga wapo nafasi ya ngapi ktk NBC PL?

HUNA AKILI.
Tumia kichwa chako vizuri mkuu, read between lines.
 
Nenda page za CAF kijana uone nani mkubwa
 
Arsenal alizipata lini hizo? Elewa mada, sio mafanikio ya bahati nasibu kama upepo tu, hapa naongelea umaarufu na ukubwa wa wananchi ndani na nje ya mipaka yetu, nani anajadiliwa zaidi.
Arsenal ya wapi hapa africa? Kama ulaya unapataje balls ya kuifananisha uto na mafanikio ya arsnal kimataifa wakati haijafika nusu ya mafanikio ya simba kimataifa ?
Uto yenu kuingia kwenye makundi last time ni 1998 karibia miaka 22 nadhan ulikuw bado mdogo unakuja na thread uchwara ujifananishe na arsenal yule luc eymael hakukosea kuwaita ni ni manyan mambwa mnabweka bweka hovyo
 
Ni aibu kuona mtu mweusi anawabagua weusi wenzake kwa maneno yanayotumiwa na weupe kuwabagua weusi. Kwani wawe ni Mwarabu? Basqi naachana na wewe
 
Yaani kujadiliwa humu jf ndo ujiapambanishe ni klabu kubwa mbona namungo last year tuliwajadili humu baada ya kuwapiga agosto 6-2 kule kwao mbona hawakuja na nyuzi uchwara Nyie kweli makima na hamjui kusoma kama asemavyo morison
Kujadiliwa na kutrend ni vitu viwili tofauti
 
Ni aibu kuona mtu mweusi anawabagua weusi wenzake kwa maneno yanayotumiwa na weupe kuwabagua weusi. Kwani wawe ni Mwarabu? Basqi naachana na wewe
Haya mambo ya ubaguzi mbona kwenu yapo sana
Hapa mlikuw mnafanya nini ?
 
Attachments

  • E7B3D1E3-A42B-41B4-AE4C-F85E1AF24218.jpeg
    30.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…