Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Game ya 3 ya ligi kwa Yanga na kashinda zote tayari wachambuzi mmeshaanza ramli zenu 🤣🤣. Bado mapema sana, tuwe na subra
 
Wewe ni Hezbollah #2. Hezbollah waliiona Israel kwa jicho la kukata moto. Njoo uuguse moto wa YANGA wewe.
 
Umemjibu vizuri kapo na kadada kingine pia nako ni ushabiki maandazi tu mpira hakuna kitu wao huibuka kwenye matukio tu hovyo kabisa..
 
Me nakuona una matatizo ya kufikiri?check Man City utasema mbovu? check Bayern Munich utasema mbaya? maccabi telaviv mbovu?futilia michezo vizuri
 
Mkuu hebu waambie hawa watu, Nilichogundua mashabiki wengi wa Yanga hawapo tayari kuikosoa timu yao hata pale inapofaanya vibaya na ukiikosoa unaonekana wewe ai mwenzao
Unapoongolea swala la Yanga kushuka kiwango unazungumza kwenye angle ipi?
 
Dooh kwahiyo timu nyingine zikiambulia goli moja au mawili ni mbovu, ila yanga ikiambulia hivyo hakuna shida ndio mpira huo, kumbe taratibu mnaanza kuelewa kuwa ubora wa timu siyo kufunga goli nyingi tu
Boraa umemuuliza.
 
Ndo ukikosaga hoja huwa unatoa maneno ya kejeri kwa muhusika.
Sijui huwa ukifanya hvyo, ndo unahisi km vile wee mjanja na mjuaji.

Kumbee huna lolotee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemalizaaa kila kitu.
 
Swala la timu kupaki basi na kukamia game kwa Yanga ya Gamondi halijaanza msimu huu,Msimu uliopita timu nyingi zilizopigwa goli nyingi mzunguko wa kwanza zilianza kupaki basi na hata kocha Gamondi alisema hili na kuhaidi kutafuta njia ya kupambana nalo kwasasa kila timu ikikutana na Yanga inaingia kwa hesabu za kupunguza idadi ya magoli cha msingi hapa kocha ni kutafuta mbinu sahihi ya kuzifungua timu zinazopaki basi..
 
Reactions: Tsh
Ndo ukikosaga hoja huwa unatoa maneno ya kejeri kwa muhusika.
Sijui huwa ukifanya hvyo, ndo unahisi km vile wee mjanja na mjuaji.

Kumbee huna lolotee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Furaha yako muda mda si mrefu utarudi kwenye default yako ya kila siku.

Kwa hiyo wewe Kolo FC u anaijua Yanga kuliko sie wenye timu.
 
Aiseeh inashangaza mipira iliyopigwa langoni kwa Yanga jana yote ni njee ya kumi na nane sasa utashangaa jamaa linasema beki za Yanga zinapitika kirahisi mpira ni mchezo mgumu sana..
 
Mi simba, lakn naomba tuwe na akiba ya maneno asee. Unafikiri tukapigwa hyo October 19 na mwisho wa msimu utopolo akabeba kombe utasemaje tena?
 
Reactions: Tsh
Kazi ya kocha ni kuitoa timu nyuma mpka kwenye box swala la kufunga ni la mchezaji, timu ina posses, inajilinda inafanya transition unamulamu kocha kwa lipi? By the way KMC unawachukulia aje? Huyo kocha wa KMC ndio sio Mgunda ni kocha hasa
 
Furaha yako muda mda si mrefu utarudi kwenye default yako ya kila siku.

Kwa hiyo wewe Kolo FC u anaijua Yanga kuliko sie wenye timu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa c umjibu huyo dada alichokuuliza, mbona umeishia kumkejerii?
Kuwa fair atiiiii. Uwiiiiii
 
Mi simba, lakn naomba tuwe na akiba ya maneno asee. Unafikiri tukapigwa hyo October 19 na mwisho wa msimu utopolo akabeba kombe utasemaje tena?
Kupigwa ni sehemu ya mchezo. Si juzi tumefungwa mbili? Uzuri wa Simba ina namna nyingi sana ya kufurahia soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…