Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!!

Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni vigumu kudhani kuwa atamfunga akiwa ugenini, akijitahidi sana ni sare!!

Sare hiyo itamfanya yanga awe wa tatu kwenye msimamo (based on head to head). Halafu kumbukeni kuwa CRB ina mchezo mmoja rahisi dhidi ya Medeama ikiwa nyumbani!!

Medeama ikiwa nyumbani ilipomfunga CRB ni kama Ihefu ikiwa nyumbani ilivyomfunga Yanga, hilo haiepushi vipigo mfululizo kama Ihefu ambavyo haikuepushwa vipigo mfululizo!! Medeama ni kama mashujaa wa kigoma tu!! Ilianza kwa kishindo na kupotea!!

NAKAZIA: Yanga jipangeni kushinda mechi zenu!!
 
Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!!
Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni vigumu kudhani kuwa atamfunga akiwa ugenini, akijitahidi sana ni sare!! Sare hiyo itamfanya yanga awe wa tatu kwenye msimamo (based on head to head). Halafu kumbukeni kuwa CRB ina mchezo mmoja rahisi dhidi ya Medeama ikiwa nyumbani!! Medeama ikiwa nyumbani ilipomfunga CRB ni kama Ihefu ikiwa nyumbani ilivyomfunga Yanga, hilo haiepushi vipigo mfululizo kama Ihefu ambavyo haikuepushwa vipigo mfululizo!! Medeama ni kama mashujaa wa kigoma tu!! Ilianza kwa kishindo na kupotea!!

Kila mtu ashinde Mechi zake tulia mzee uwone kabumbu linavyo chezwa ok
 
Ndugu mbumbumbu pumzika, Yanga isikufanye ukose usingizi.
Nakukumbusha Juzi 19/12/2023 Pyramids amefungwa kwao wakati alipata sare kule south.
Upe mpira heshimayake.
@redio we jamaa kumbe akili huna.! Sasa unaifananisha mamelod sundown na yanga??? Huyo yanga ambae atafungwa goli Tano misri???
 
Tokea lini ukawa mshauri wa yanga wewe kolowizard? Nyumbani kwako kunanuka uvundo unakwenda kutoa ushauri namna ya kufanya usafi nyumba ya jirani iyo ni akili ama makamasi?
 
Kimahesabu Yanga ajipange Kwa msimu ujao. Nafikiri sasa wameshaweza kutofautisha champions league na confederation
 
Ndugu mbumbumbu pumzika, Yanga isikufanye ukose usingizi.
Nakukumbusha Juzi 19/12/2023 Pyramids amefungwa kwao wakati alipata sare kule south.
Upe mpira heshimayake.
Kungekuwa na nafasi ya kutoa like hata 20 kwa mtu mmoja. Umemwambia fact kabisa. Haya mabumunda ya mo,sidhani kama wanaingia simba inapocheza kwa ajili ya kuishangilia. Wanaingia kimwili tu,lakini roho zao zote ziko kwa YANGA,sijui ni utoto? Hapana sio utoto,kwani yule mropokaji wao ni mtoto yule? Au ndio kuteseka kwenyewe?
 
Kwahiyo unataka kusemaje??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anataka kusema kila mtu ana mechi zake. Kwa hiyo fungua nyuz kuhusiana na mabumunda wenzio. Sio mwili uwe mikiani,lakini mioyo yenu kwa YANGA
 
Ndugu mbumbumbu pumzika, Yanga isikufanye ukose usingizi.
Nakukumbusha Juzi 19/12/2023 Pyramids amefungwa kwao wakati alipata sare kule south.
Upe mpira heshimayake.
Nilitaka niandike Bora umemuhabarisha
 
@redio we jamaa kumbe akili huna.! Sasa unaifananisha mamelod sundown na yanga??? Huyo yanga ambae atafungwa goli Tano misri???
Wewe ndiye umekurupuka kutoa comment bila kuelewa alichomaanisha.
Mleta uzi kasema kuwa ni ngumu Al Ahly kumfunga Belouizdad kule Algeria kwavile kule Misri walitoka sare. Ndipo redio akatoa funzo kuwa mpira wa miguu hauna hilo, Pyramid kule South alitoa sare dhidi ya Mamelod lakini kaja kuchapiwa huko huko kwao Misri na hao hao Mamelod kwenye mechi ya marudiano. Hivyo Al Ahly kushinda dhidi ya Belouizdad inawezekana pia
 
Back
Top Bottom