mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!!
Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni vigumu kudhani kuwa atamfunga akiwa ugenini, akijitahidi sana ni sare!!
Sare hiyo itamfanya yanga awe wa tatu kwenye msimamo (based on head to head). Halafu kumbukeni kuwa CRB ina mchezo mmoja rahisi dhidi ya Medeama ikiwa nyumbani!!
Medeama ikiwa nyumbani ilipomfunga CRB ni kama Ihefu ikiwa nyumbani ilivyomfunga Yanga, hilo haiepushi vipigo mfululizo kama Ihefu ambavyo haikuepushwa vipigo mfululizo!! Medeama ni kama mashujaa wa kigoma tu!! Ilianza kwa kishindo na kupotea!!
NAKAZIA: Yanga jipangeni kushinda mechi zenu!!