Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga
inacheza:
👉Tarehe 3 Juni CAF fainali
👉Tarehe 6 Juni ligi
👉Tarehe 9 Juni ligi
👉Tar 12 Azam Federation Cup.
Ndani ya siku 9, mechi nne, hii ni kuikomoa Yanga au? TFF wajitadhimini sana. Mimi kama mdau wa michezo napinga hii hakubaliriki