Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga

inacheza:

👉Tarehe 3 Juni CAF fainali
👉Tarehe 6 Juni ligi
👉Tarehe 9 Juni ligi
👉Tar 12 Azam Federation Cup.
Ndani ya siku 9, mechi nne, hii ni kuikomoa Yanga au? TFF wajitadhimini sana. Mimi kama mdau wa michezo napinga hii hakubaliriki

697AE319-94E2-436C-BDFF-9B87B8CEBB75.jpeg
 
Umetumia kiungo gani kufikiri na kuandika hivi!? usiniambie makalio, maana kichwani utakuwa na makamasi badala ya Ubongo...[emoji16][emoji16]

Huna Akili.
Kakujibu in a sarcastic way lakini ana maana, Yanga washabeba ubingwa ligi, mechi hazina maana hizo aweke kikosi Cha pili au Yanga b sawa tu, au kuna rekodi ya kuvunja? Tff si walipeleka mbele ratiba kupisha fainali? Sasa lawama za Nini tena, mi pia ni Yanga ila sioni tatizo hapo
 
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga...
Sio mbaya, baada ya tarehe 3 wachezaji muhimu watapumzika kujiandaa na fainali tarehe 12,hizo mechi 2 za ligi hazina umuhimu kwa yanga ndo maaana zimelundikwa hapo kti
 
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga
inacheza:

👉tarehe 3 jun CAF fainali
👉tarehe 6 juni ligi
👉tarehe 9 juni ligi
👉tar 12 Azam Federation Cup.
ndani ya siku 9,mechi nne,hii ni kuikomoa Yanga au?TFF wajitadhimini sana. Mimi kama mdau wa michezo napinga hii hakubaliriki
View attachment 2639429
Mmepewa ndege ya bure, nendeni mkakamilishe ratiba huko Algeria, tarehe 4 mrudi moja kwa moja mnaunganisha Mbeya kumaliza mechi mbili ambazo nazo ni za kukamilisha ratiba. Mtakuwa na siku moja ya kupumzika halafu tarehe 6 mnacheza game ya kwanza. Baada ya game ya pili ya tarehe 9, safari ya Tanga na mtakuwa na siku moja ya mapumziko, tarehe 12 Azam anapiga kwenye mshono.
 
Kakujibu in a sarcastic way lakini ana maana, Yanga washabeba ubingwa ligi, mechi hazina maana hizo aweke kikosi Cha pili au Yanga b sawa tu, au kuna rekodi ya kuvunja? Tff si walipeleka mbele ratiba kupisha fainali? Sasa lawama za Nini tena, mi pia ni Yanga ila sioni tatizo hapo
Kuna mechi ya kukabidhiwa Kombe hapo dhidi ya Prison.....Ubingwa na kufungwa...

Hilo Moja ..bado nawadha hali za hizo timu ktk msimamo zikoje, wako Salama na Play Off!?

Vipi kuhusu fedha za Azam kwa hizo timu za mbeya wakimaliza nafasi za juu!?

Timu inatoka Algeria hali za fiziki za wachezaji na kusafiri...Dar then mbeya mechi2 na Sherehe za Ubingwa juu..( uchovu) then wasafiri to Tanga...

Hizo hali za hewa sijui....Finali ya Azam lzm watakuwa ktk bad shape...

Nabi analalamika anashindwa kuiandaa timu vizuri badala yake anafanya body recovery ya wachezaji....au hamuelewi Prof. Nabi anacholalamikia...!?
 
Na wewe cjui unafikiria kwa kutumia nini ... Sasa unataka mechi zipelekwe mbele, kwa sbbutimuzinashuka daraja....??
 
Hapana.... nadhani final ya Azam ndiyo ingesogezwa kidogo...au we unaonaje!?
Ila unacheksha kweli wewe, yaan Yanga isipanve kikosi B kisa kuna watu wanashuka daraja... Kaa ujitafakari tena mawazo yako... Hata Yanga wakickia mawazo yako watakucheka
 
Mmepewa ndege ya bure, nendeni mkakamilishe ratiba huko Algeria, tarehe 4 mrudi moja kwa moja mnaunganisha Mbeya kumaliza mechi mbili ambazo nazo ni za kukamilisha ratiba. Mtakuwa na siku moja ya kupumzika halafu tarehe 6 mnacheza game ya kwanza. Baada ya game ya pili ya tarehe 9, safari ya Tanga na mtakuwa na siku moja ya mapumziko, tarehe 12 Azam anapiga kwenye mshono.
Kwani Simba hatacheza?
 
Timu za ENGLAND wanacheza UEFA J tano na jpili wanakipiga ligi kuu..

Wacha visingizo uchwala.
 
Back
Top Bottom