Kiungo ilikufa kabisa baada ya Duke kutoka.Mbona Duke alipokuwepo team ilienda vizuri mpaka alipoumia? Duke ni namba 8 lakini hapo 6 anacheza tu?
Kete ni kocha aliikosea mwenyewe tuache kuzusha bwana sub zake ndio ziliua game
Angempa nani nafasi? Yanga hamna watu tena kuweni wakwelizake ndio ziliua game
Ngoma yupo slow lakini bado kocha akamtoa mudathir ambaye alipokuwepo ahueni ilikuwepoKiungo ilikufa kabisa baada ya Duke kutoka.
Yule aliyechukua nafasi yake yupo slow sana kuendana na kasi ya mchezo.
Kuondoka kwa Khalid Aucho kumeacha pengo kubwa.
Duke ana afadhali tu lakini bado hatoshi pale kati, kumbuka hapa nazungumzia mechi za msimu huu zote performance ya kati ni dhoofu. Hakuna mechi unaweza sema eneo la kati limeonesha uhai.Mbona Duke alipokuwepo team ilienda vizuri mpaka alipoumia? Duke ni namba 8 lakini hapo 6 anacheza tu?
Kete ni kocha aliikosea mwenyewe tuache kuzusha bwana sub zake ndio ziliua game
Muda aliweka ahueni gani na timu imeshikiliwa dakika zote kuanzia 1st half?Ngoma yupo slow lakini bado kocha akamtoa mudathir ambaye alipokuwepo ahueni ilikuwepo
Pia alipaki basi mapema dakika ya 50 tu na kina bacca wakachoka nao
Yanga wameishi sana bahati hii kwa muda mrefu, na wangeshinda leo ungeona wana relax kabisa na vijembe juu, lkn Yanga wakubali tangu aondoje aucho pale kati walishapwaya muda! max tu juhudi zake binafsi huwa zinawafichia aibuWanasema sub za kocha mbaya sasa walitegemea atoe wapi wachazaji na injinia kajaza magalasa. Watu kati pale wamezidiwa kocha inabidi afanye patapotea
Kweli tunatofautiana aseeh duhMuda aliweka ahueni gani na timu imeshikiliwa dakika zote kuanzia 1st half?
Huyo muda ni moja ya madhaifu makubwa ya Yanga msimu huu kuna wakati Yao alikuwa anaenda kumsaidia eneo lake maana alikuwa hajui hata afanye nini
Hapo kati kulikuwa na kagoma na maema! Muda fulani chilambo anatembelea kwa dk kazaa anavuruga vibaya! chama hakuwa na game nzuri leoWanasema sub za kocha mbaya sasa walitegemea atoe wapi wachazaji na injinia kajaza magalasa. Watu kati pale wamezidiwa kocha inabidi afanye patapotea
Haya ndio mambo yanga wameyawekea nguvu zaidi uswahili kwelikweli ushindi wao wa ulozi na kuhonga pesa! Hii ukibisha angalia international game zao huwa wanacheza ovyo sana
Kabla ya hapo walikua kina iniesta watupu🤣Nyumba inayovuja utaijua masika!
Magalasa yote mnayataja wenyewe leo.😀