Yanga kuna tatizo la sehemu ya kiungo. Duke, Mudathir na Ngoma awatoshi ni magalasa

Majiraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuuuuuuuuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dakika ya 50 tayari anawaambia wachezaji wajilinde

Lazima wachoke tu hapo kwa kupelekewa moto mule hakuna kocha
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo mtasema wenyeweeee, km Arajiga ni Utopolooooooooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sub za manikoba zilikuwa za hovyo Sana, Una mwingiza mzize akafanye nn! Udhalilishaje ule hatutaki kuuona tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie mnanipaa rahaaa mnavyobwata hivyooooo.
Woyoooooooooh
 
Hakuwa mchezoni kabisa jana bora mwenzie zokouani na bora angebaki yeye kuliko kangwanda.
tuna mawinga wazuri sana ila kocha anawafanya wanacheza kizamani

Angalia wenzetu simba walivyofanya kwa kina libassa.

Kwa kweli mimi naona game kocha aliiua mwenyewe tu yaani

Kwanza hajui hata wachezaji wake walivyo hajui yule

Game kubwa hii imemuumbua
Yaani kina mligo ndio.wakusumbua?
 
Shida Wala sio wachezaji wenu Bali ni mfumo wa uchezaji wa kocha wenu hao wachezaji mlionao mkampa Gamond utaona utofauti
 
Bora hussein alikuwa vizuri kuliko kangwanda alikuwa hovyo jana

Halafu kuna kitu nimegundua yao alipewa mzigo mkubwa upande wake sana lengo asipande ila kocha hakuwa na solution ya hilo
Kagandwa ni mchezaji mzuri ila Jana alichoka hivi unadhani kuzuia muda mwingi wa mchezo ni kazi nyepesi
 
Kagandwa ni mchezaji mzuri ila Jana alichoka hivi unadhani kuzuia muda mwingi wa mchezo ni kazi nyepesi
Ndio alichoka kwanzia dakika ya 60 wachezaji walikuwa hoi yaani dakika zote wanazuia tu unadhani mchezo nini?

Ingawa hakuna sehemu nimesema ni mbaya mzee
 
Ndio alichoka kwanzia dakika ya 60 wachezaji walikuwa hoi yaani dakika zote wanazuia tu unadhani mchezo nini?

Ingawa hakuna sehemu nimesema ni mbaya mzee
Wewe ulilaumu yeye kuwa ovyo jana but kwa asimilia πŸ’― kocha wenu kuwafanya wachezaji wenu karibia wote wawe ovyo kwa mfumo wake mbovu hamkuwa Bora as a team so kutoa lawama kwa wachezaji wenu mnakosea
 
Dakika za mwanzoni tu before asssit yake jamaa alishapoteza mipira zaidi ya mitano one vs one kwahiyo hakuwa kangwanda yule wa ngao ya jamii. Alikuwa ruthless. Sharp and direct sana wa jana tangu mwanzo hakuwa sawa sana lazima tuseme hilo
 
Kukiwa hakuna supply ya mipira na flow nzima ya team vitu kama hivyo lazima vitokee
 
Leo mtasema wenyeweeee, km Arajiga ni Utopolooooooooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anayecheka mwishoni ndo anacheka sana ujue 😁😁😁
 
Yanga wameishi sana bahati hii kwa muda mrefu, na wangeshinda leo ungeona wana relax kabisa na vijembe juu, lkn Yanga wakubali tangu aondoje aucho pale kati walishapwaya muda! max tu juhudi zake binafsi huwa zinawafichia aibu
Kwani Max sio Yanga
 
Kwani Max sio Yanga
Mnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa wao
 
Siyo kweli Yanga ilikuwa na siku mbaya tu. Hata kabla ya Abuya kutolewa timu ilikuwa inacheza vibaya.
 
Mbona Duke alipokuwepo team ilienda vizuri mpaka alipoumia? Duke ni namba 8 lakini hapo 6 anacheza tu?

Kete ni kocha aliikosea mwenyewe tuache kuzusha bwana sub zake ndio ziliua game

Huyo Duke hata angelicheza dk180 kipigo kilikua hakikwepek alafu nyie fitness mbovu tu kuna timu ilikua inapiga viatu jana kama uto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…