bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,880 Reaction score 24,933 Oct 11, 2026 #61 Olmo said: Mnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa wao Click to expand... Wewe kama sio shoga basi msagaji
Olmo said: Mnategemea mtu mmoja na ulozi na kumhonga araj boy jana kajaribu kuwabeba lakini wapi timu haisogei hata kati muda wote wanashughulikiwa wao Click to expand... Wewe kama sio shoga basi msagaji
Olmo JF-Expert Member Joined Jun 21, 2026 Posts 1,213 Reaction score 2,198 Oct 11, 2026 #62 bullar said: Wewe kama sio shoga basi msagaji Click to expand... Shoga nitakuwa mimi? Uache kuwa wewe?
bullar said: Wewe kama sio shoga basi msagaji Click to expand... Shoga nitakuwa mimi? Uache kuwa wewe?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Oct 12, 2026 #63 Titicomb said: Kiungo ilikufa kabisa baada ya Duke kutoka. Yule aliyechukua nafasi yake yupo slow sana kuendana na kasi ya mchezo. Kuondoka kwa Khalid Aucho kumeacha pengo kubwa. Click to expand... Huu ni ukweli mchungu. Hadi muda huu Yanga imekosa kiuongo aina Khalid Aucho. Mwamba alipokuwa kwenye ubora wake aliituliza sana timu.
Titicomb said: Kiungo ilikufa kabisa baada ya Duke kutoka. Yule aliyechukua nafasi yake yupo slow sana kuendana na kasi ya mchezo. Kuondoka kwa Khalid Aucho kumeacha pengo kubwa. Click to expand... Huu ni ukweli mchungu. Hadi muda huu Yanga imekosa kiuongo aina Khalid Aucho. Mwamba alipokuwa kwenye ubora wake aliituliza sana timu.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Oct 12, 2026 #64 Na bado mtasema sana, juzi ndo walipata kipimo Chao sahihi siyo Namungo Wala coast, ambao mlikuwa mnajipigia, nyie si ndio mlisema mna kikosi kipana? Kiko wapi
Na bado mtasema sana, juzi ndo walipata kipimo Chao sahihi siyo Namungo Wala coast, ambao mlikuwa mnajipigia, nyie si ndio mlisema mna kikosi kipana? Kiko wapi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 16, 2026 #65 Mambo yao waachieni wenyewe... Cc: Mahondaw