Kabla ya kuhamisha mechi wape sababu wenye timu yao, na sababu lazima iwe ya kiufundi na kiuchumi, nothing more nothing more. Sio kwasababu za kisiasa Wala kupigia kampeni chama au mtu. Maana ni hatari sana Simba na Yanga kuziingiza kwenye siasa zetu za vyama.mambo mengine tunayakuza. nyie ndio mkizeeka mnakua visirani. mambo madogo hayo. siku wakicheza kwetu arumeru mtasema pia ama kisa kwa wanywa urojo?
Wenye timu yao ni akina nani?Kabla ya kuhamisha mechi wape sababu wenye timu yao, na sababu lazima iwe ya kiufundi na kiuchumi, nothing more nothing more. Sio kwasababu za kisiasa Wala kupigia kampeni chama au mtu. Maana ni hatari sana Simba na Yanga kuziingiza kwenye siasa zetu za vyama.
Kuna mtu anaitwa Dar es?Dar es
Kwani imesajiliwa wapi?
Simba na Yanga ni madubwana makubwa ambayo hayakai chumba kimoja, ukilitumbukiza moja huku lingine linakwenda kule. Wewe huogopi!?50 mil sio za bure bure zile
We jamaa nimejaribu kufatilia hoja zako zimekaa kibaguzi sana hauna hoja ya maana. Unasema kabla ya kuhamisha wawape taarifa wenye timu yao. Sijui kama unajua wenye timu ya Yanga ni akina nani, unajibu Dar es 😂😂😂sasa Dar es ni mtu? Hata kiswahili tu kinakupiga chenga.Dar es
Kwani imesajiliwa wapi?
Timu hizi zisitumbukizwe kwenye siasa, ni hatari sana, ziachwe zicheze mpira. Wazee wetu walijizuia na jambo hili kwakuwa timu hizi
Nafuta kauli, Yanga ipo Zanzibar pia, ina watu, inapendwa, ni kwao pia.Wenye timu yao ni akina nani?
Kama ni 50m ni nyingi sana50 mil sio za bure bure zile
Umefikiria gharama za safari nzima?Gharama nafuu kuliko Chamanzi Comp.
Wakati 5imba na Yanga zinaenda kucheza dabi uwanja wa Tanganyika, Kigoma, kuna aliyeuliza? Wakati Yanga na Coast wanacheza Sheikh Amri Abeid, Arusha, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Azam wanacheza pale Nangwanda Sijaona, Mtwara, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Yanga wanacheza Mkwakwani Tanga kuna aliyeuliza? etc. Hizo timu zote tajwa hapo juu zilicheza nje ya 'nyumbani' kwao..!! Kwanini hii leo iwe nongwa hao ambao nyumbani kwao ni ZENJI kucheza nje ya ZENJI..!!??Kaka Man U ni timu ya Manchester hata kama ina mashabiki dunia nzima, Liverpool ni timu ya Liverpool, Real Madrid ni ya jiji la Madrid, Barcelona iko pale Catalunya; Al-Ahly iko pale Cairo, watu wa miji hiyo ndiyo starehe yao na uchumi wao; wengine waende huko kama wakitaka kuzishuhudia zikicheza au wazisubiri zikija kucheza mechi zao na timu nyingine kwenye ligi au ngao ya jamii au pre-season. Marketing na kuwasogezea mashabiki wengine timu kunafanyika wakati wa pre-seasons tu.
Hiyo ni tofauti sana na hiyo. Safari hii imekwenda Zanzibar, nchi jirani kisoka bila sababu za msingi. Wakati wanakwenda kigoma na Arusha sababu zilikuwepo, lakini huko kigoma na Arusha ni himaya ya TFF pia, Zanzibar Kuna ZFF.Wakati 5imba na Yanga zinaenda kucheza dabi uwanja wa Tanganyika, Kigoma, kuna aliyeuliza? Wakati Yanga na Coast wanacheza Sheikh Amri Abeid, Arusha, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Azam wanacheza pale Nangwanda Sijaona, Mtwara, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Yanga wanacheza Mkwakwani Tanga kuna aliyeuliza? etc. Hizo timu zote tajwa hapo juu zilicheza nje ya 'nyumbani' kwao..!! Kwanini hii leo iwe nongwa hao ambao nyumbani kwao ni ZENJI kucheza nje ya ZENJI..!!??
Usipotoke kama babu Magoma, anayepotoka kuwa Yanga ni mali yake.Huna ulichokisema cha maana. Yanga ni timu ya dar es Salaam, wanataka kufaidika na timu yao directly na indirectly. Kuna wanaonufaika directly kama waajiliwa, serikali (mapato na Kodi), uwanja, TFF, DRFA, TEFA nk na Kuna wanaonufaika na mechi za kimataifa za Yanga indirectly ( mahoteli, mamalishe, daladala, bodaboda, machinga, nk). Hawa wooooote huwezi kuwapiga mswaki eti kiongozi mmoja wa timu ana mahaba na kwao. Aliyesema Yanga ni timu ya Muungano ni nani?
Achana nao hao Makolo wenye husda! Yanga ndiyo inayoonesha njia tangu zama za kaleWakati 5imba na Yanga zinaenda kucheza dabi uwanja wa Tanganyika, Kigoma, kuna aliyeuliza? Wakati Yanga na Coast wanacheza Sheikh Amri Abeid, Arusha, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Azam wanacheza pale Nangwanda Sijaona, Mtwara, kuna aliyeuliza? Wakati 5imba na Yanga wanacheza Mkwakwani Tanga kuna aliyeuliza? etc. Hizo timu zote tajwa hapo juu zilicheza nje ya 'nyumbani' kwao..!! Kwanini hii leo iwe nongwa hao ambao nyumbani kwao ni ZENJI kucheza nje ya ZENJI..!!??
Tusidanganyane watu. Wakati Yanga inazaliwa 1935 Tanganyika na Zanzibar zilikuwa nchi 2 tofauti kabisaaaaaa. Ukiacha Mzee Karume kusaidia ujenzi wa lile jengo hakuna kingine. Mwaka 1964 Yanga haikuwa kati ya Yale mambo ya muungano. Hata Man U, arsenal, Liverpool, Chelsea ziko ulaya lakini Zina mashabiki hata kule mfaranyaki, mbona hatuletewi mechi za man u?Usipotoke kama babu Magoma, anayepotoka kuwa Yanga ni mali yake.
Yanga ni ya mali ya wanachama ambao wametapakaa Tanzania yote, ikiwemo Unguja na Pemba.
Klabu ina dhima na sababu ya kuwajibika kuwapelekea burdan wanachama wake kwa kadri fursa inavyopatikana.
Kwanini Karume asaidie jengo la Yanga kama sio mshabiki/ mwanachama wa Yanga? Yanga ni timu ya wanachama na hao wanachama wapo hadi Zanzibar unalinganisha vipi na Man united?Tusidanganyane watu. Wakati Yanga inazaliwa 1935 Tanganyika na Zanzibar zilikuwa nchi 2 tofauti kabisaaaaaa. Ukiacha Mzee Karume kusaidia ujenzi wa lile jengo hakuna kingine. Mwaka 1964 Yanga haikuwa kati ya Yale mambo ya muungano. Hata Man U, arsenal, Liverpool, Chelsea ziko ulaya lakini Zina mashabiki hata kule mfaranyaki, mbona hatuletewi mechi za man u?
Ndio maana nimesema natengua kauli, maana hz 50m ingewezekana Kila timu za Yanga, Simba, coastal na Azam zote zikapata. Zilikuwa ni kwa wote, sio Yanga TU.Kama ni 50m ni nyingi sana
Michezo siku zote ina imarisha uduguNdio maana nimesema natengua kauli, maana hz 50m ingewezekana Kila timu za Yanga, Simba, coastal na Azam zote zikapata. Zilikuwa ni kwa wote, sio Yanga TU.
Nimesema Wacha ikachezwe Zanzibar kama ikibainika kuwa Yanga inaweza kutumika kuuboresha na kuimarisha muungano wetu. Rais Mwinyi na Rais Samia Wana nia safi na werevu mkubwa sana, inawezekana Simba na Yanga zikauboresha muungano wetu kuwa Bora zaidi kuliko ulivyokuwa huko nyuma.