Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

Karume alisaidia hata Simba kupata jengo lao lile. Mzee karume alikuwa na fedha nyingi sana zilizoachwa na Sultani baada ya mapinduzi, hakujua afanye nini nazo wakati ule. Alijenga viwanja vizuri vya mpira, kituo ghali cha television ya rangi, maghorofa yenye kila kitu ndani kila sehemu watu wake wakae bure, kuoa wake wazuri, kuoa na maeneleo mengine. Hivyo kujenga jengo la Yanga haikumaanisha kitu kikubwa sana kama tunachokiona sasa kwenye uongozi wa Hersi. Hata hivyo ni jambo zuri kama Yanga sasa itakuwa taasisi ya muungano, lazima katiba ya yanga iseme hivyo huko baadae.
 
Michezo siku zote ina imarisha udugu
Ni kweli kabisa, kama Yanga itavuna wanachama wengi kutoka Zanzibar pia hilo ni jambo la kuigwa na timu zote. Ni vizuri ifikirie kujitanua hata East Afrika, Kenya, Uganda, Burundi, DRC na Rwanda ili mechi siku nyingine zipelekwe kuchezwa Rwanda au Kenya pia.
 
Unaongea kana kwamba hujui nini tofauti kati ya TFF na ZFF. ZFF iko level moja na TFF, FUFA, FKF, nk.
 
Unaongea kana kwamba hujui nini tofauti kati ya TFF na ZFF. ZFF iko level moja na TFF, FUFA, FKF, nk.
Ok, then, kwanini Mudathir, Baka na Fei Toto wapo taifa stars? Kwani mashindano haya hayana Zanzibar Heroes? Inawezekana mimi sijui, naomba unifafanulie.
 
Na wakenya huwa wanakuja kwa Mkapa kucheki DABI. Wakipelekewa huko huko dabi itakuwa kubwa zaidi
 
Ok, then, kwanini Mudathir, Baka na Fei Toto wapo taifa stars? Kwani mashindano haya hayana Zanzibar Heroes? Inawezekana mimi sijui, naomba unifafanulie.
Kakaaa wamelazimishwa kucheza TU baada ya FIFA na CAF kuwanyima uwanachama kamili Zanzibar. Lakini Kuna ada ya uhamisho ili timu ya bara kupata mchezaji wa kiZanzibar.
 
Kakaaa wamelazimishwa kucheza TU baada ya FIFA na CAF kuwanyima uwanachama kamili Zanzibar. Lakini Kuna ada ya uhamisho ili timu ya bara kupata mchezaji wa kiZanzibar.
Kuna sababu yoyote ya Zenji kunyimwa uanachama?
 
Yanga wameenda Zanzibar si Kwa sababu wanawanachama wengi kama baadhi ya watu wanavyoseme lakini ukweli wameenda Zanzibar ili kujipendekeza Kwa mheshimiwa rais.Huu ni ukichaa kabisa
 
Watu hawajui tu lakini iko sheria (nadhani haijafutwa) ya kuilipa serikali ya zanzibar US Dollar 40 kama mtu wa tanganyika ukitaka kumuoa Mzanzibar. Haitumiki, iko dormant lakini ipo.
 
TFF, IDFA
Timu ni ya wanachama, TFF na DFA hawana timu bali ni mashirikisho ya soka ngazi ya taifa na mkoa. Kazi zao ni kusimamia sheria, na kuendesha ligi kwa ngazi mbalimbali. Yanga ni timu ya wanachama na wapo wanachama wengi tu wa kutoka Zanzibar na ndio maana unaona ina mjumbe wa baraza la wadhamini kutoka Zanzibar.
 
hawana hela za kusupport chakwao hao wazanzibari
 
Watu hawajui tu lakini iko sheria (nadhani haijafutwa) ya kuilipa serikali ya zanzibar US Dollar 40 kama mtu wa tanganyika ukitaka kumuoa Mzanzibar. Haitumiki, iko dormant lakini ipo.
Kumbe hoja yako ipo katika kiubaguzi wa utanganyika na uzanzibar.
 
Yanga wameenda Zanzibar si Kwa sababu wanawanachama wengi kama baadhi ya watu wanavyoseme lakini ukweli wameenda Zanzibar ili kujipendekeza Kwa mheshimiwa rais.Huu ni ukichaa kabisa
Wakijipendekeza kwa raisi ndio watabeba kombe la CAF? au ndio watafanya vizuri mashindano ya CAF? Kichaa ni wewe unayewaza visivyohusiana. Au kuna kiongozi wa Yanga anataka kuwa waziri?
 
Yanga inapocheza mechi pale Benjamin Mkapa niambie ni akina nani wanaopata gawio kwenye gate collections, na kwanini wanapata gawio? Je, Yanga inapopeleka mechi zake Zanzibar ni akina nani kati ya hao hawatapata sehemu ya gate collections na kwanini?

Yule mjumbe unaesema yumo ni kwasababu tu hati ya jengo ilikuwa kabatini kwake, la sivyo ondokeni tuchukue jengo letu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…