Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.

Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?

Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.

Uzi tayari.
Hilo nalo limekuuma 😅😅😅 kolo5mba shida sanaaa
 
Ulisema Simba tunanufaishwa na Yanga kutangaza kiingilio bure. Kwahiyo tuwashukuru Yanga kwanza kwa kutunufaisha kwa uwingi wa watu jana.
Kumbe inawezekana nilikuwa sahihi. Point ni kwamba inawezekanaje Yanga ya bure ikose watu halafu Simba ya kulipia ipate watu zaidi? Ni mjadala mzuri ili tuweze kuzifahamu hivi vilabu vizuri zaidi na aina ya mashabiki wake.
 
Kwa mujibu wa takwimu za Tff, ni zaidi ya miaka 10 kwenye soka la bongo Yanga imekua na mashabiki wengi kwenye mechizao kuliko klabu yoyote Tanzania.

Hii inahusisha ata kipindi ambacho Yanga ilikua ikipitia katika ukata mkubwa kama klabu uku Simba ikiwa na ukwasi kupitia msimamizi wa Mali za familia MO dewji.

Yanga imekua na mashabiki wengi ndani na nje ya nchi kwakua base yake inahusisha matawi yake yaliyo sambaa nchi mzima kabla ya kuundwa kwa chama Cha siasa Tanu.
 
Jumatano ni siku ya Kazi wananchi walijitahidi
 
Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro😁
tabia za wafanyakazi tunajua ni saa 2 asubuhi, mwisho saa 8 mchana. Tabia za wa kupuuzwa kama wewe ni za kupuuza.
 
Kumbe inawezekana nilikuwa sahihi. Point ni kwamba inawezekanaje Yanga ya bure ikose watu halafu Simba ya kulipia ipate watu zaidi? Ni mjadala mzuri ili tuweze kuzifahamu hivi vilabu vizuri zaidi na aina ya mashabiki wake.
Kwa maelezo yako, simba imenufaishwa na yanga. Bila yanga, simba isingekuwa na mashabiki wengi. Tuwapongeze Yanga kwa hilo kwanza
 
Ulicomment katika uzi husika au ndiyo ile roho mbaya ya "dah jamaa yuko sahihi sana ila sitaki kucomment ili asijue". Matokeo yake unakuja kuyasema kwingine na tena bado hautaki hata kukiri kuwa nilikuwa sahihi.
 
Bro ulikuwa sahihi, mashabiki wa simba kuwa wengi ilitokana na Yanga. Ndio maana nasema tuwapongeze Yanga kwa hilo wametusaidia.
 
Hawakwenda kuisapoti Simba walikuja kuona mpira wa wakubwa kama nilivyosema katika ule uzi. Utasemaje walitusaidia wakati walikuja na jezi zao na kama Simba ingefungwa wangeshangilia? Nadhani haujafahamu kwa nini nilileta ule uzi na ile hoja.

Point ni kuwa Simba iliingiza watu wengi kuliko Yanga na wote katika uzi huu ikiwemo wewe tumekubaliana na hilo. Naweza kukupa sababu kwa nini Yanga imeshindwa kujaza uwanja, sababu ambazo inawezekana hata haujazifikiria. Uko tayari?
 
Wewe ulisema simba imenufaishwa alafu sasa hivi unakataa hawajatusaidia,, sasa simba ilinufaishwa kivipi. Kama simba ilinufaishwa kwa wingi wa mashabiki, basi hata kimapato yanga wameisaidia simba. Kwahiyo tuwapongeze Yanga
 
Ni mashabiki wa Yanga ndiyo walioenda katika mechi ya Simba na siyo msaada wa GSM kusema "tuwapongeze Yanga" na walienda si kwa ajili ya "kuisaidia" Simba bali walitaka kuangalia soka la kikubwa, hili nimelisema zaidi ya mara moja ila unaliruka kama haulioni.

Simba kunufaika kimapato siyo ishu maana yoyote anakaribishwa kuingia uwanjani, unataka Simba ianze kumtambua kila anayekuja uwanjani mshabiki wa timu gani na ishukuru timu zao?

Kwa makusudi sikuweka wazi maana ya ule uzi na wewe ni mmoja wao umeingia pale pale nilipokuwa nataka na unashindwa kulitambua hilo.
 
Ulisema, kuongezeka mashabiki kwenye mechi ya Simba itaboost sana sababu mashabiki wa simba walirudi nyuma kidogo. Kwahiyo Yanga kainufaisha Simba kwa kuboost ile hamasa ya mashabiki kujaa uwanjani.
Tuwapongeze Yanga kwa kuiboost simba kwenye hilo
 
Mashabiki wa Yanga walioenda uwanjani wamefanya hivyo si kwa kutaka kuisaidia Simba bali kwa kutotaka kumiss mechi kubwa na baadhi kwa sababu ya kiingilio kuwa bure mechi ya Yanga.

Shida yako unatumia maneno "kunufaika" na "kusaidiwa" kama vile yana maana moja.
 
Sawa, tuseme simba haijasaidiwa. Simba ilinufaika, labda niseme ilipata faida. Kwahiyo tuipongeze kwanza Yanga iliyosababisha Simba kunufaika - kulingana na maelezo yako kwamba simba itafaida kupitia Tiketi bure kwa Yanga
 
Wewe itakuwa ni mwanasiasa tena wa siasa za CCM. Nyie ndiyo mnapenda unafki wa kupongezana pongezana hata kwa mambo yasiyostahili. Mtu anatimiza wajibu wake unaandaa maandamano ya kumpongeza. Mtu anaenda uwanjani kwa utashi wake, labla kwa kuchagizwa na unafuu wa bei ya tiketi unataka klabu pinzani itoe waraka wa kuwapongeza.
 
Back
Top Bottom