Ni mashabiki wa Yanga ndiyo walioenda katika mechi ya Simba na siyo msaada wa GSM kusema "tuwapongeze Yanga" na walienda si kwa ajili ya "kuisaidia" Simba bali walitaka kuangalia soka la kikubwa, hili nimelisema zaidi ya mara moja ila unaliruka kama haulioni.
Simba kunufaika kimapato siyo ishu maana yoyote anakaribishwa kuingia uwanjani, unataka Simba ianze kumtambua kila anayekuja uwanjani mshabiki wa timu gani na ishukuru timu zao?
Kwa makusudi sikuweka wazi maana ya ule uzi na wewe ni mmoja wao umeingia pale pale nilipokuwa nataka na unashindwa kulitambua hilo.