Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌

N:B KMC msirudie kuipeleka Yanga mikoani na kuikamia na mechi za Simba pelekeni huko tuone!
 
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu.

GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
 
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Metacha lina mashaka sana. Metacha amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Kumbe metacha siku izi anachezea kmc? Sikujua bwana, alafu sasa Kama ni ivyo inatakiwa waanze na yule mzee wa kuzira na kutishia kujitoa kwenye timu maana ndo alikuwa gwiji wa iyo michezo kwa misimu miwili yote, inaonekana kwa sasa amepunguza iyo bajeti kidogo baada ya kusimangwa
 
Ficha ujinga wako, Metacha wa wapi unayemuongelea we na frustration zako
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Metacha lina mashaka sana. Metacha amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
 
Yanga hii Ni ya Moto kila mtu atakufa naamini

Simba kwa yanga hii uwenda akafa nje ndani

Mwechi 5 mfululizo hawajaruhusu bao hata moja.

Hii yanga yamoto
Vip kwa wanaijeria hamjaruhusu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Ni li falook shikhalo msaliti
 
Kama Fairplay siku hizi rushwa basi kama Taifa tunaelekea kubaya sana
 
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.

Huna akili wewe pale kuna goli jepesi lililopatikana mwanzo mwisho madogo wamezidiwa
 
Mkuu hawa vijana wa Simba ni hamnazo, Simba mwenyewe alipigwa sasa KMC apambane na mfupa uliyoishinda Simba yenyewe.
 
😂

DA8DCE4A-4D29-4465-A879-0404BEAA50A0.png
 
Goli kipa gani ww kufungwa magoli ya hovyo kama yale.

Shikalo kanunuliwa.
 
Back
Top Bottom