Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Unaona shabiki mwingine wa Utopolo huyu, hajuwi chochote kuhusu mpira. Sikia, ngao ya Jamii si kombe la maana, ile ni kwa ajili ya ufunguzi wa ligi tu au kwa lugha nyingine inaitwa kubariki msimu mpya. Huwezi wakilisha nchi yako kwa kuchukua ngao ya Jamii, umedanganywa na Manara nini? Mkimfuata yule dogo, atawalostisha shauri yenu - yule hajuwi mpira, anacheza na fursa zilizopo kujinufaisha yeye mwenyewe....he's a nobody.Lkn pia kwa mkapa ngao ya jamii na watoto walipigwa kimoja chali. Hawatomsahau Mayele.