Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Unateseka ukiwa wapi mkuu, yanga sasa hivi inacheza mpira mayai,,,mpira makande umeamia mikiani"Soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu"
Viwanja vyote isipokua vya Nigeria
Kumbe metacha siku izi anachezea kmc? Sikujua bwana, alafu sasa Kama ni ivyo inatakiwa waanze na yule mzee wa kuzira na kutishia kujitoa kwenye timu maana ndo alikuwa gwiji wa iyo michezo kwa misimu miwili yote, inaonekana kwa sasa amepunguza iyo bajeti kidogo baada ya kusimangwaNaiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Metacha lina mashaka sana. Metacha amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Metacha lina mashaka sana. Metacha amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Vip kwa wanaijeria hamjaruhusu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yanga hii Ni ya Moto kila mtu atakufa naamini
Simba kwa yanga hii uwenda akafa nje ndani
Mwechi 5 mfululizo hawajaruhusu bao hata moja.
Hii yanga yamoto
Ni li falook shikhalo msalitiNaiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Thats what Misquotations, misunderstandings and misperceptions!Ficha ujinga wako, Metacha wa wapi unayemuongelea we na frustration zako
Kama Fairplay siku hizi rushwa basi kama Taifa tunaelekea kubaya sanaNaiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Naiomba serikali kupitia TFF na PCB kuchunguza mienendo ya GSM katika soka la Tanzania. Naona kabisa wanatumiwa vibaya wachezaji wetu. GSM ni Sabaya mwingine adhibitiwe haraka sana. Nb: Tabasamu la Hersy na Farouk Shikaru[ Faru She curl] lina mashaka sana. Faru She curl amefurahia kitu na GSM amempongeza kwa kazi nzuri.
Mkuu hawa vijana wa Simba ni hamnazo, Simba mwenyewe alipigwa sasa KMC apambane na mfupa uliyoishinda Simba yenyewe.Huna akili wewe pale kuna goli jepesi lililopatikana mwanzo mwisho madogo wamezidiwa
Hata ya Simba tulinunuaUtopwinyo wamehonga golikipa. baada ya match boss wao kamwita na kumpongeza kwa alichowafanyia kmc pale majimaji