Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Unaona shabiki mwingine wa Utopolo huyu, hajuwi chochote kuhusu mpira. Sikia, ngao ya Jamii si kombe la maana, ile ni kwa ajili ya ufunguzi wa ligi tu au kwa lugha nyingine inaitwa kubariki msimu mpya. Huwezi wakilisha nchi yako kwa kuchukua ngao ya Jamii, umedanganywa na Manara nini? Mkimfuata yule dogo, atawalostisha shauri yenu - yule hajuwi mpira, anacheza na fursa zilizopo kujinufaisha yeye mwenyewe....he's a nobody.Lkn pia kwa mkapa ngao ya jamii na watoto walipigwa kimoja chali. Hawatomsahau Mayele.
Mm sijakataa, ni kweli ngao yaa jamii ni kombe baya na la hovyo na haliwezi kuifanya timu ikaiwakilisha nchi kimataifa. Na sijui kwa nn mlileta timu uwanjani kushindania kombe baya na la hovyo lisilokua na maana.Unaona shabiki mwingine wa Utopolo huyu, hajuwi chochote kuhusu mpira. Sikia, ngao ya Jamii si kombe la maana, ile ni kwa ajili ya ufunguzi wa ligi tu au kwa lugha nyingine inaitwa kubariki msimu mpya. Huwezi wakilisha nchi yako kwa kuchukua ngao ya Jamii, umedanganywa na Manara nini? Mkimfuata yule dogo, atawalostisha shauri yenu - yule hajuwi mpira, anacheza na fursa zilizopo kujinufaisha yeye mwenyewe....he's a nobody.
Na rivers ilikuwa ya ngapi?Yanga hii ni ya Moto kila mtu atakufa naamini
Simba kwa yanga hii huenda akafa nje ndani
Mwechi 5 mfululizo hawajaruhusu bao hata moja.
Hii yanga yamoto
Mbona nigeria mlishindwa kuchomoa ule mwiko mmoja mtakatifuYaani hii Yanga hata uipeleke kwenye uwanja wa matuta, Mpira unawekwa chini na kuanza kupigwa moja moja
Aya sawaMbona nigeria mlishindwa kuchomoa ule mwiko mmoja mtakatifu
Ni lazima kufungua msimu mpya, hivyo basi bingwa wa nchi ni lazima apambane na utopolo ili wafungue dimba ama kubariki msimu mpya, usipofanya hivyo unashitakiwa na kupigwa faini, ulikuwa hujuwi hili?Mm sijakataa, ni kweli ngao yaa jamii ni kombe baya na la hovyo na haliwezi kuifanya timu ikaiwakilisha nchi kimataifa. Na sijui kwa nn mlileta timu uwanjani kushindania kombe baya na la hovyo lisilokua na maana.
Na nikweli sijui mpira maana ningeujua ningekua kocha na pia manara hajui mpira maana angekua kocha vilevile
Lakini mimi nimesema kuna mtoto mwingine alipigwa chuma kizito sana pale kwa mkapa, akapoteana na mpaka sasa anacheza makande tu na hatokuja kumsahau Mayele.
Kwa nn hadi medali mkazikimbia hamkutaka kwenda kuchukua mpaka mumtume mtu akawachukulie kwa aibu mliyokua mmeipata?Ni lazima kufungua msimu mpya, hivyo basi bingwa wa nchi ni lazima apambane na utopolo ili wafungue dimba ama kubariki msimu mpya, usipofanya hivyo unashitakiwa na kupigwa faini, ulikuwa hujuwi hili?
Hivi kwa akili yako, unafikiri wale mabingwa wa Botswana ni sawa na Yanga wale? Yanga pale haoni kitu na ndiyo maana hawashiriki mashindano ya kimataifa, wao level yao ni timu za mikoani tu.Wanaume wenzao njombe mji ya botswana na bado mkawa mnacheza mpira makande, we jamaa ni amnazo kabisa
River utd umeongezwa ndani nje?Yanga hii ni ya Moto kila mtu atakufa naamini
Simba kwa yanga hii huenda akafa nje ndani
Mwechi 5 mfululizo hawajaruhusu bao hata moja.
Hii yanga yamoto