Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

Naona hujui maana ya pre-season,mechi ya jana ni mojawapo ya match za pre-season na Yanga bado ina siku wiki na siku kadhaa kabla ya kuanza mechi za kimashindano,bado wanaweza kucheza match hata za majaribio hata 3 kabla ya klabu bingwa,kwa jana sina cha kuwalaumu,imagine wachezaji wengine wa Yanga wamefika juzi mchana kutoka morocco,wengine walikua dar toka j4 last week,cha kushauri hizi siku chache zilizobaki wasifanye masihara,ikiwezekana waipeleke.timu zambia au uganda wakapate match sahihi za majaribio kabla ya tarehe 12
 
....Well said mkuu, wananchi tunakuelewa sana..Wacha makorokoro fc wanaojifanya wanajua sana masuala ya ufundi waendelee kubwabwaja. Tutakutana nao uwanjani
 
Yanga inahitaji muunganiko tu,ile game ya jana wachezaji wenyewe hata wiki hawajakaa pa1,wachezaji waliobaki morocco walifika juzi Tz kujiunga na wenzao,yale matokeo ya kufungwa yameisaidia sana Yanga kwa kujua wanatakiwa wawe serious kinamna gani
Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba mmefungwa siku ya Mwananchi day, siku simba ilikua inacheza na FA rabat mechi ya majaribio sio ya Simba day. kipindi cha kwanza Utopolo mlipiga sana kelele kwamba tumefungwa. sasa inakuaje mnaanza kujitetea kufungwa siku muhimu ya mwananchi.
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
 
Tatizo la Yanga ni kuwekeza ktk propaganda zaidi. Haiwezekani ligi imeisha CAF walitoa ratiba kuwa round ya awali itaanza mapema 12/09 kwanini hukujiandaa huku unajua una kundi kubwa la wachezaji umewaacha. Ukachomoa kupeleka full timu Kagame ila cha kushangaza hata kuondoka kwenda pre-season walichelewa. Matokeo yake baada ya siku 5 wanarudi. Kwa timu yenye mipango na malengo yanga day ingepelekwa mbele kumpa kocha muda zaidi kukaa preseason kumalizia ratiba aliyopanga. Mbona azam wao wamepotezea siku ta tamasha lao.
Kinachokwenda kutokea ni kuwa ktk pressure kubwa sasa ndani ya siku hizi 11 kabla game na Rivers. Kocha anaweza kuwa na sababu kuwa timu haijapata preseason kikamilifu.
 
Yanga hatuna sababu ya msingi kujitetea, viongozi ndio wa hovyo. They are very disorganised
 
Kila mwaka wewe unatengeneza team
 
Kama mwaka jana, kazi kwenda Airport kwa mapokezi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
....Well said mkuu, wananchi tunakuelewa sana..Wacha makorokoro fc wanaojifanya wanajua sana masuala ya ufundi waendelee kubwabwaja. Tutakutana nao uwanjani
Kama kapumbu alivyokupelekea Moto mnyama ndo utamweza
 
Unajua teams za taifa lini zinamaliza mechi,mlipoteza muda na ujinga wa kagame cup na kwe da kufanya jogging marrakech
 
Yanga will bring africa champion cup
Huu ndo ukweli

Kuna watu watarudi ku cheki this sms mwisho wa mwaka

Najua mtabisha and some ones Will say i’m dreaming my bro’s lets me tell you the trueth this here young africa will bring africa cup
 
Hiyo wiki na siku unaihesabu vipi, wachezaji wanaenda timu za taifa hadi tarehe 8, tarehe 12 mechi na wanaijeria. I think yanga hawajapiga hesabu zao sawa, all in all lengo la GSM limetimia, kazi ipo kwa wenye timu sasa.
 
Hiyo wiki na siku unaihesabu vipi, wachezaji wanaenda timu za taifa hadi tarehe 8, tarehe 12 mechi na wanaijeria. I think yanga hawajapiga hesabu zao sawa, all in all lengo la GSM limetimia, kazi ipo kwa wenye timu sasa.
Ni kweli kuna nafasi finyu sana ya maandalizi
 
Mshawahi kufungwa na zesco kwenye tamasha kama lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…